Ambulance kuanza kutengenezwa Tanga

Ambulance kuanza kutengenezwa Tanga

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Serikali mkoani Tanga imesema imeshaanza mchakato wa kufanyiakazi ahadi za Rais Samia Suluhu Hassani alizotoa wakati wa kampeni zake mkoani humo,ikiwemo ya kusaidia vijana ajira,na kujiendeleza kiuchumi na biashara

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani amesema hayo wakati akiongea kwenye kipindi cha Amka na Tk inachorushwa na TK Fm Radio Jumanne Novemba 11,2025 na kusema kuwa zaidi ya viwanda vikubwa vitatu vinakwenda kujengwa ikiwemo cha kutengeneza magari ya wagonjwa(Ambulance),Gesi,Sukari na vinginevyo,kwa lengo la kutoa ajira kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom