Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,582
- Thread starter
-
- #21
Joyner Lucas ft Eminem
Mifoko yake ni hatari sana ila Bado Mika Mwamba na Master Jay watabaki kua bora kwangu
Huyu jamaa ilikuwa hatari nyingine japo ujuzi wake ulikuwa haulandani na muonekano wake! 😂😂😂
Alisababisha ugomvi wa Q Chilla na Jafarai enzi hizo! Chilla aliurudia wimbo (remix) wa My Boo (kama sijakosea jina) ambao original yake ilikuwa ya Jafarai akimshirikisha Chilla...
Unaikumbuka ngoma ya Hot Pot Family inaitwa Bonge la Toto chorus ameimba Q Chilla?
Hivi ule wimbo wa Anita wa matonya ile video ilishutiwa Kijiji gani hapo dar mbona sielewi?
Same ol'g wa Ginuwine,balaa alilofanya Timberland mule bado linaishi mpaka leo.
Joyner Lucas ft Eminem
Mifoko yake ni hatari sana ila Bado Mika Mwamba na Master Jay watabaki kua bora kwangu
Hahahaaaaaaaa daaah!!Even though I got my own CD...
May be even on TV..
There aint no chaning ME...
I can only be me, me, ME..
Beat lake kali sana. RNB moja ya kufanyia mapenzi usiku!
Duh basi fresh kunradhi kwa hilo...itakuwa nimepitiwa na Mandela effects maana nakumbuka kabisa nilisikia tàarifa ya kifo ya Dunga
She performs - Ngwair ft TID haukutengenezwa 41 records,ulitengenezwa Studio 69 na hiyo Sauti unayosema sio Dunga ila ni sample vocal ambayo imetumika sana pia kwenye nyimbo za Ulaya.
Iphone 11 Pro Max