team gani hiyo Honey Faith
Team nanihiii utawajua tu
Umeowaona ee, mi nilikuwa nasema huyu mtoto katoka super na nywele zake za rangi rangi, wamekuja wakina utafiti na Mr Rocky wameanza kuijadili picha sivyo ndivyo. Mbona hawaongei kuhusu yule Miss Tanzania wao, na yeye si ana picha kama hii.
Jina limeniponyoka kidogo ngoja nimuulizie Asprin maana na yeye ni member then nitakwambia
Salamander picha ya miss wa kuchonga ile haina mvuto imezeeka na inatudanganya hapa eti ina miaka 18 wakati ashakuwa bibi aise wala haivutii muulize hata kabanga au utafiti
Umeowaona ee, mi nilikuwa nasema huyu mtoto katoka super na nywele zake za rangi rangi, wamekuja wakina utafiti, kabanga na Mr Rocky wameanza kuijadili picha sivyo ndivyo. Mbona hawaongei kuhusu yule Miss Tanzania wao, na yeye si ana picha kama hii.

Honey Faith usimuite yule babu Asprin huku yeye na mwenzake Dark City wanaweza kupofuka macho yao ya uzee wasione tena
Salamander picha ya miss wa kuchonga ile haina mvuto imezeeka na inatudanganya hapa eti ina miaka 18 wakati ashakuwa bibi aise wala haivutii muulize hata kabanga au utafiti
Eti wanakataa kua wewe sio mwenyekiti wetu aiseee
Mie tena?Akuuuuuu???????
Hivi hao wako kwenye team gani vileeee????
Khaaa lini umestaafu??
​Angalia utapigwa ban humu, mi simo.
Aiseee,wanaume wote wangekua na msimamo kama wako.... dunia ingekua sehemu salama ya kuishi
Mwacheni Miss Tanzania wetu, ndio kwanza kavunja ungo mwaka huu, kimwali mwali cha TMK kile, lazima akachukue Miss World yule, huwezi kumfananisha na huyo Amber Rose demu wa wavuta bangi kina Wiz Khalifa.
Asprin tumepiga ban huku asije anaweza zimia bureWaone vile vile tu yani wanapenda hayo mambo balaaa.Ngoja asprin aje atakavyonishukuru
Mr Rocky nataka nimtengeneze cute b hiyo style ya nywele mpaka body zima awe kama amber!
Nipe maoni..
Cc Honey Faith kwa ajili ya kuona wivu! Lol