Amber Rose New Hair Style

Last edited by a moderator:
Mi niliona nywele tu, lakini kumbe picha iko na ujumbe tofauti, mnisamehe wakuu, kila nikitaka kuiondoa inagoma, bora tuivumilie tu.

Mkuu Salamander puliz puliz usiondoe fahari ya macho aise tuache tuendelee kuikodolea mimacho mpaka mwisho

Kaka nimeona kuna kanguo kadoooogo kanapata shida yakupumua

Mkuu utafiti nitakutoa kundini aise naona umeshakua sasa unatakiwa kupewa chumba chako mwenyewe ujitegemee
 
Last edited by a moderator:
Hebu saidia kuiuppload picha yote, nimevutiwa zaidi na kule chini.
 
The hair style is daft. Who does that?
 
Mkuu Salamander puliz puliz usiondoe fahari ya macho aise tuache tuendelee kuikodolea mimacho mpaka mwisho



Mkuu utafiti nitakutoa kundini aise naona umeshakua sasa unatakiwa kupewa chumba chako mwenyewe ujitegemee

Hahahah mkuu me bado sana aisee... Sijui kwanini nimeona kwanza
 
Last edited by a moderator:
Mkuu utafiti namwambia kabanga akuhamishe chumba aise huwezi kuona mambo ya wakubwa wakati hujakua kabisa aise
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…