Ambassador

Ambassador

Mibas

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,213
Reaction score
6,390
Pichani: Balozi wa Marekani nchini Rwanda Peter Vrooman kabla, wakati na baada mashindano alipokua. Na sisi tujifunze kuwashirikisha wanadiplomasia wa kimataifa walioko nchini inasaidia kuijitangaza kimataifa.
IMG_20181209_175135.jpeg
IMG_20181209_175540.jpeg
IMG_20181209_175157.jpeg
 
Aaah wapo mbaaali sana japo wanapenda hela zaa Utalii
Kila nikikumbuka Kigwangwala akiwa Naibu waziri wa Afya akawahi getini pale Wizarani akawafungia nje wafanyakazi wachelewaji nacheka sanna aisee.

Sasa ndio waziri wa utalii ngoja tusubiri ubunifu wake hahah.
 
Anapenda sana sifa za kijinga
 
Ila mzee baba anaonekana anamkubali,awe creative huko wizarani.
Amejisahau sana mkuu, kumbuka kauli aliyoitoa kwa wasomi nchini, anadhani amefanikiwa sana japo maisha hayapo ivyo, then pia ninawasiwasi na reasoning yake
 
Amejisahau sana mkuu, kumbuka kauli aliyoitoa kwa wasomi nchini, anadhani amefanikiwa sana japo maisha hayapo ivyo, then pia ninawasiwasi na reasoning yake
Jamaa naona hua kama kichwa yake inafyatuka hivi alishaongea pumba khs wasomi,juzi kaongea upuuzi khs mafao ya wazee.

Hakuna kitu pale.
 
Hapa kazi tu hakuna kuremba, uza korosho onyesha shamba, fanya kazi miaka 40 zulumiwa pensheni.
 
Back
Top Bottom