Ambassador Khamis Kagasheki: Life has taught me that you can’t control someone’s loyalty

System imempiga bench ameanza kupiga kelele asubiri dawa iingie vizuri wakiwa madarakani kuwa wanakuwa miungu watu hawa wapuuzi.
Upepo umegoma kuvuma,anga limekataa, ndumba zimeexpire,wazee wa anga wanafata wananchi wanataka nini.
 
Not true, Magu has never been good to anybody, he has made people hypocrites, not loyal. Peopole hate him because of killing innocent people; including his assassination attempt against Lissu!
Ready the world history Nobody succeeded silencing people by killing.
U kill one rising more it's human nature.
Kama unaamini utawanyamazisha watu kwa kuwauwa ukapimwe akili.
 
Uzuri ni kwamba wanaolalamika ni wachache waliozea hela za ujanja ujanja, pia uzuri kuwa JPM ameandika historia ambayo itakumbukwa mpaka kizazi cha tano cha watanzania, maendeleo aliyowapatia watanzania yanawakumbusha watanzania wengi uzalendo wa kujenga nchi, uaminifu na focus kama kiongozi wa nchi, ameweka alama isiyofutika. Tanzania kwanza.
 
Ni muhimu kutenda haki siku zote, hata ethics za kazi zinatufundisha tenda lililo sahihi ukiwa na watu hata ukiwa peke yako. Utaepuka matatizo mengi sana.
 
Kweli kabisa. Nifikiria aliyoyasema Kabudi, Polepole na Gwajima huko nyuma, kweli CCM ni mabingwa wa undumilakuwili.
Not true, Magu has never been good to anybody, he has made people hypocrites, not loyal. Peopole hate him because of killing innocent people; including his assassination attempt against Lissu!
 
3A15A8A3-7A6C-43D9-9EC6-41C6C4279D43.jpeg

Hilo ni somo ambalo binadamu wengi tumejifunza na kulipokea pamoja na ugumu wake inafika hatua inabidi ukubali loyalty from close friends and family is not guaranteed contrary to our beliefs.

You just have to fight your battles and defeat is not an option; no matter what, even if the world is against you.
 
Uzuri ni kwamba wanaolalamika ni wachache waliozea hela za ujanja ujanja, pia uzuri kuwa JPM ameandika historia ambayo itakumbukwa mpaka kizazi cha tano cha watanzania, maendeleo aliyowapatia watanzania yanawakumbusha watanzania wengi uzalendo wa kujenga nchi, uaminifu na focus kama kiongozi wa nchi, ameweka alama isiyofutika. Tanzania kwanza.
[/QUOTES
Ukikumbukwa kwa mabaya je
 
Maisha yamenifundisha kuwa huwezi kudhibiti uaminifu wa mtu. Haijalishi wewe ni mzuri kwao, haimaanishi watakuthamini sawa. Wakati mwingine watu unaowapenda zaidi, wanageuka kuwa watu ambao unaweza kuwaamini hata kidogo.
Ndugu kama Kiingereza hujui acha, usiharibu kiswahili kwa kutumia google translator
 
Uzuri ni kwamba wanaolalamika ni wachache waliozea hela za ujanja ujanja, pia uzuri kuwa JPM ameandika historia ambayo itakumbukwa mpaka kizazi cha tano cha watanzania, maendeleo aliyowapatia watanzania yanawakumbusha watanzania wengi uzalendo wa kujenga nchi, uaminifu na focus kama kiongozi wa nchi, ameweka alama isiyofutika. Tanzania kwanza.
Inngependeza zaidi kama ungeonyesha hayo maendeleo unayosema! kusema kafanya tu bila mifano halisi ni yaleyale ya alinacha!
 
System imempiga bench ameanza kupiga kelele asubiri dawa iingie vizuri wakiwa madarakani kuwa wanakuwa miungu watu hawa wapuuzi.
Tuweke kumbukumbu sawa; mawaziri wakistaafu au wasipochaguliwa huaga hawana kipato kutoka serikalini, Kagasheki sio wa kwanza kua nje ya mfumo, kuna akina Kapuya nk, wote hawa wanaishi kwa pesa au miradi waliojiwekezea wakiwa bado wanavyo vipato, huyu kapigwaje na system?
 
Koleza moto na moshi kwenye shimo walipojificha panya buku wa na maadui wa Taifa hili wachomoka mmoja baada ya mmoja. Mwengine huyo.
 
Maisha yamenifundisha kuwa huwezi kudhibiti uaminifu wa mtu. Haijalishi wewe ni mzuri kwao, haimaanishi watakuthamini sawa. Wakati mwingine watu unaowapenda zaidi, wanageuka kuwa watu ambao unaweza kuwaamini hata kidogo.
Tafsiri yako ni kama ya mtu yule!
 
The man will be the most hated person in Tanzania after his retirement.Probably he would seek an asylum.
Kuingia kwa Magufuli CCM ni sawa na nguruwe kuingia msikitini. Amenajisi chama, ila iko siku ambayo hata amini yatakayompata.
 
Back
Top Bottom