Ambassador Khamis Kagasheki: Life has taught me that you can’t control someone’s loyalty

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
“Life has taught me that you can’t control someone’s loyalty. No matter how good you are to them, doesn’t mean they’ll value you the same. Sometimes the people you love the most, turn out to be the people you can trust the least.” ~ Trent Shalton #KSK_Balozi
 
System imempiga bench ameanza kupiga kelele asubiri dawa iingie vizuri wakiwa madarakani kuwa wanakuwa miungu watu hawa wapuuzi.
Unafahamu system yenyewe au unasikia sikia tu kwasababu unamasikio we binti.
 
Mkitaka kujua majeraha waliyo jeruhiana ndani ya CCM ngojeni Magu aukose Urais na kubaki mwenyekiti wa Chama tu ambaye hata kuwa na nguvu ya dola.

Nakuhakikishieni kikao cha kwanza tuu cha Halmashauri kuu watamtoa nje wamjadili (katiba ya CCM inaruhusu) na hata weza kupinga.
Na kwa uwazi kabisa kuna watakao simama na kumwambia "tuachie Chama chetu umekiharibu".

Timu ya kutimiliwa kama mbwa itawahusu Bashiru, Polepole na wengine wengi tuu walio chonekwa na kujenga kiburi kwa waliopigania Chama kwa nguvu mno 2014-15
 
Ingekuwa kwa Kiswahili ingependeza zaidi kwani mlengwa ana allergy na hii lugha ya mabeberu.

embasado Kagasheki anasema hivi...

"October 28 mkapige kura za ndio kwa Mh.Lisu maana jiwe akirudi hakuna jiwe juu ya jiwe litakalosalia"

anamalizia hivi "hata yy anakufa na tai yake hadi October 28"
 
Back
Top Bottom