Ambao wanauzoefu na ku appel wanipe ishu nzima

May 22, 2012
43
1
kwa wale ndugu amabo wameshawahi ku appel miaka ya nyuma au wanajua mambo fulani kuhusu ku appel wanipe maneno hapa nlitaka kujua prosec nzma pia nlipnda kujua huwa yanatoka lini hayo majibu?
 
nashukuru kaka rich mana wa2 wngne kwan kuna k2 kisicoeleweka hapo jaman !mc choelewa nn km hautaki kunisaidia bac bhna ila mm naakili timamu ndo mana nimeandka na kuhtaji msaada xaxa ambacho kipya ni nn hapo have extra knwledge
 
Hawa jamaa hata uki appeal hawakupi considerations.HELSB wanapenda rushwa tu pale ndio wakupandishie mean test.Wewe bora ufanye mchakato mwingine na ubaki na ulichonacho.
 
Ni hatari sana, hivi unaweza kupost kitu bila wewe mwenyewe kusoma uone kama unaeleweka au vipi? Kweli ndo maana watu hufeli mitihani.

Wanasiasa eti marks hazikutosha au hakuchaguliwa, kama uandishi wenyewe ndio huu1
 
utapata u just do,nenda bodi ukawaulze utaratbu then watakupatia fomu,usiwe mwepesi wa kukata tamaa na usipende kukacrka coz humu jamvin Kuna wengine huwa hawana akil timamu,so relax,bibilia inasema Msiogope,trust me utapata.
 
Neema,.appeal procces,zitawekwa Form ktk web ya hslb,then utaenda ujaze,then utatuma mwenyewe au utaipeleka kwa loan officer pale chuon kwako..! Form zitawekwa nazani badae sn.,na matokeo,adi mwezi wa nne nxt yr..
 
nashukuru kaka rich mana wa2 wngne kwan kuna k2 kisicoeleweka hapo jaman !mc choelewa nn km hautaki kunisaidia bac bhna ila mm naakili timamu ndo mana nimeandka na kuhtaji msaada xaxa ambacho kipya ni nn hapo have extra knwledge
mdogo wangu NEEMA MWAIPUNGU
neema umekosea sana sio wote huku ni vijana wa leo ambao wamesomea mikopo ya helsb mie binafsi nimejua kuapeal kesi mahakamani baada yakusoma id nikakumbuka ile ulisema umekosa ana ya kusomea .la sivyo kweli huekleweki kama unataka msaada wa mawazo toa issue kiuhalisia la sivyo thread itafika page 3 ni maswali na upuuzi mtupu
 
Last edited by a moderator:
haya nimewaelewa ila me nlidhani kuwa lina2mika kwa wote km mnajua bac yaishe nimewaelewa cku zte jifanye mjinga cku ipite haya nashukuruni kwa hilo
 
nashukuruni xana kwa wale mlionisaidia kunifafanulia atleast nina mwangaza wa kutambua any way asanteni mungu awabarki kwa msaada wenu n pia muongezewe kwa mlichonacho naimani ntapata na wale mnaojua kutoa negative comment cio km nawa crush ila maisha ha2end hvyo cdhani km ndo life la xaxa km ulishindwa xema ni wewe na cio mwngne xo kueleza reality ni vzr lkn cio kumkatisha m2 moyo nyc tym
 
hivi ni appel ama appeal..mpaka hapo tu umeshafail daah...haki elimu..hiii
 
Usimkatishe mwenzio tamaa. Kwani akikataa rufaa si ametumia haki yake? kikubwa ni kumpa moyo na rufaa yake ikubaliwe na si huu utumbo unaoandika hapa. Au wewe now umepata mkopo na ****** yanalia Mbwataaaaaa!
 
Back
Top Bottom