Ambao wanauzoefu na ku appel wanipe ishu nzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ambao wanauzoefu na ku appel wanipe ishu nzima

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NEEMA MWAIPUNGU, Sep 28, 2012.

 1. N

  NEEMA MWAIPUNGU Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa wale ndugu amabo wameshawahi ku appel miaka ya nyuma au wanajua mambo fulani kuhusu ku appel wanipe maneno hapa nlitaka kujua prosec nzma pia nlipnda kujua huwa yanatoka lini hayo majibu?
   
 2. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Neema hivi unaongelea nini?
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Wala haeleweki, nadhani anatania
   
 4. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Ni hatari sana, hivi unaweza kupost kitu bila wewe mwenyewe kusoma uone kama unaeleweka au vipi? Kweli ndo maana watu hufeli mitihani.
   
 5. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi nafikiri nyie ndo hatari kwani mmeshindwa kupata "contextual meaning" ya thread yake, mi binafsi nimemuelewa kuwa anataka ajue jinsi ya kukatarufaa HESLB.
   
 6. N

  NEEMA MWAIPUNGU Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru kaka rich mana wa2 wngne kwan kuna k2 kisicoeleweka hapo jaman !mc choelewa nn km hautaki kunisaidia bac bhna ila mm naakili timamu ndo mana nimeandka na kuhtaji msaada xaxa ambacho kipya ni nn hapo have extra knwledge
   
 7. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hawa jamaa hata uki appeal hawakupi considerations.HELSB wanapenda rushwa tu pale ndio wakupandishie mean test.Wewe bora ufanye mchakato mwingine na ubaki na ulichonacho.
   
 8. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  kidogo nimeeldwa
   
 9. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Wanasiasa eti marks hazikutosha au hakuchaguliwa, kama uandishi wenyewe ndio huu1
   
 10. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama waweza ni pm, 0712-752544
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  watu wako sharp kweli
   
 12. k

  karatta Senior Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  utapata u just do,nenda bodi ukawaulze utaratbu then watakupatia fomu,usiwe mwepesi wa kukata tamaa na usipende kukacrka coz humu jamvin Kuna wengine huwa hawana akil timamu,so relax,bibilia inasema Msiogope,trust me utapata.
   
 13. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hizi comments zinaonesha namna watu wa bodi ya mkopo walivyopata tabu pia.

  Kwa mtindo huo wa uandishi usijisumbue ku'appeal utapoteza muda wako..
   
 14. Q

  Q700 Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Neema,.appeal procces,zitawekwa Form ktk web ya hslb,then utaenda ujaze,then utatuma mwenyewe au utaipeleka kwa loan officer pale chuon kwako..! Form zitawekwa nazani badae sn.,na matokeo,adi mwezi wa nne nxt yr..
   
 15. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mh....
   
 16. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mdogo wangu NEEMA MWAIPUNGU
  neema umekosea sana sio wote huku ni vijana wa leo ambao wamesomea mikopo ya helsb mie binafsi nimejua kuapeal kesi mahakamani baada yakusoma id nikakumbuka ile ulisema umekosa ana ya kusomea .la sivyo kweli huekleweki kama unataka msaada wa mawazo toa issue kiuhalisia la sivyo thread itafika page 3 ni maswali na upuuzi mtupu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. N

  NEEMA MWAIPUNGU Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya nimewaelewa ila me nlidhani kuwa lina2mika kwa wote km mnajua bac yaishe nimewaelewa cku zte jifanye mjinga cku ipite haya nashukuruni kwa hilo
   
 18. N

  NEEMA MWAIPUNGU Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuruni xana kwa wale mlionisaidia kunifafanulia atleast nina mwangaza wa kutambua any way asanteni mungu awabarki kwa msaada wenu n pia muongezewe kwa mlichonacho naimani ntapata na wale mnaojua kutoa negative comment cio km nawa crush ila maisha ha2end hvyo cdhani km ndo life la xaxa km ulishindwa xema ni wewe na cio mwngne xo kueleza reality ni vzr lkn cio kumkatisha m2 moyo nyc tym
   
 19. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,196
  Likes Received: 2,637
  Trophy Points: 280
  hivi ni appel ama appeal..mpaka hapo tu umeshafail daah...haki elimu..hiii
   
 20. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Usimkatishe mwenzio tamaa. Kwani akikataa rufaa si ametumia haki yake? kikubwa ni kumpa moyo na rufaa yake ikubaliwe na si huu utumbo unaoandika hapa. Au wewe now umepata mkopo na ****** yanalia Mbwataaaaaa!
   
Loading...