Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,639
- 171,688
Natafuta social capital kwanzaMkono mtupu haulambwi. Tafuta mtaji kwanza, marafiki wa faida hufuata watu wenye mtaji.
Mimi nazungumzia mitaji ya aina yote: Mahusiano mazuri na watu ni mtaji mkubwa mno.Natafuta social capital kwanza
Ni kweli hili nimechelewa ila sio sana muda upo bado....nashukuru bado hayajanikuta 😃😃😃Mimi nazungumzia mitaji ya aina yote: Mahusiano mazuri na watu ni mtaji mkubwa mno.
Kupenda kushiriki na watu kwenye shida na raha ndiko kunaleta hata mtaji pesa.
Sema sasa ninyi Modern Women mnagunduaga haya siku yakishawakuta.
Hawaweki taji la FRIEND, WIFE, HUSBAND😂😂hivi kwa nini watu wanaogopa kuzikwa na manispaa?
Jaribu kujichanganya na watu unaowaona ni potential kwako na ni wa kiwango chako nikimaanisha elimu muwe sawa, kipato, umri nakadhalika marafiki wapo wengi sana ishu ni wewe unatarget marafiki wa aina gani mfano mimi napenda marafiki wenye lugha ya pesa pesa mda wote kama upo interested karibu.Good morning jf....
Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.
Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.
Wenye marafiki mnawapataje???
Kweli hata mimi ni hivyo, marafiki wa zamani ndio tumerudi kuwa karibu, lakini pia kuna mtaji wa watu wa kazini kwake, majirani zake, sehemu yake ya kuabudia nk.Kwani marafiki zako wa zamani wako wapi? Au hawana faida? Sasa hivi marafiki zangu ni wale wale tulikua wote. Baada ya mahangaiko ya dunia, tumeungana tena.
Nadhani nnae mmoja tu tuliesoma advance na chuoKwani marafiki zako wa zamani wako wapi? Au hawana faida? Sasa hivi marafiki zangu ni wale wale tulikua wote. Baada ya mahangaiko ya dunia, tumeungana tena.
Kazini sina marafiki 😂😂 nikifika nafanya kazi zangu zikiisha hata kama ni saa nne naleft, nipo kwenye kikundi cha vicoba kazini lakini sipo interested na hao watu wana umbea uliopitiliza, nipo tu kwasababu nna faida nacho sanaKweli hata mimi ni hivyo, marafiki wa zamani ndio tumerudi kuwa karibu, lakini pia kuna mtaji wa watu wa kazini kwake, majirani zake, sehemu yake ya kuabudia nk.
Ninajichanganya nao wapi yani nadhani pa kuanzia ndio sinaJaribu kujichanganya na watu unaowaona ni potential kwako na ni wa kiwango chako nikimaanisha elimu muwe sawa, kipato, umri nakadhalika marafiki wapo wengi sana ishu ni wewe unatarget marafiki wa aina gani mfano mimi napenda marafiki wenye lugha ya pesa pesa mda wote kama upo interested karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na mimi hapa JF.Ninajichanganya nao wapi yani nadhani pa kuanzia ndio sina