Kula UNLIKE
Aaa mkuu unaniangusha bana, mi nakugongea LIKE wewe unanipa UNLIKE!
Kula UNLIKE
Natumia Wapsite Maana Huwa Nikitumia Touchsite Huwa Inanisumbua Ku Reply Inanipa Shida. Maana Kuna Jamaa Kaniambia Mimi Mchoyo Wa Kutoa LIKE.
Huwa Inanisumbua Sana Kwenye Ku Reply
mi ninayo jf app ila napenda kutumia zaidi opera min