Ambao hatujawahi kuumizwa kwenye Mapenzi njoo hapa

mimi hapa sijawahi kuumizwa na mapenzi.
nilipenda sana kipindi cha nyuma ila nilipoona binti anaenda chuo tofauti na mimi nikaona nimuache tuu
 
Nawasalimu kwa jina la JMT

Mimi ni miongoni mwa vijana ambao mapenzi hayajawahi kuniumiza, nimewahi kupenda sana sio kwa mtu mmoja lakini kuja kwenye swala la kuumiza kwenye mapenzi sijawahi.

Ili usiumizwe kwenye mapenzi jitahidi kuyapa sec or third part ya maisha yako, tumia akili kupenda na sio Moyo.

Mlioumizwa karibuni tuwape ushauri.

images

Nikija na uzi wa kuumizwa kimapenz naomba mnipokee wajameni. Safar yangu bado
 
Nawasalimu kwa jina la JMT

Mimi ni miongoni mwa vijana ambao mapenzi hayajawahi kuniumiza, nimewahi kupenda sana sio kwa mtu mmoja lakini kuja kwenye swala la kuumiza kwenye mapenzi sijawahi.

Ili usiumizwe kwenye mapenzi jitahidi kuyapa sec or third part ya maisha yako, tumia akili kupenda na sio Moyo.

Mlioumizwa karibuni tuwape ushauri.

images

Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom