Ambao hatujafanya mapenzi mwaka2017 tukutane hapa..

FirstClass

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,094
1,358
Lengo Ni kupeana mbinu mbadala za kushnda matamanio japo vishawishi Ni vingi.Inawezekana bila ngono,inawezekana bila michepuko,Inawezekana bila Musterbation. [HASHTAG]#UsipateUkimwi2017[/HASHTAG] [HASHTAG]#UsipigeNyeto2017[/HASHTAG] [HASHTAG]#Usitoe0713[/HASHTAG]..
 
Ambao hamjaoa au kuolewa ndo mna kiburi kama hicho. Sisi wazee na familia zetu,aaagh ni lazima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom