Ambacho CCM na watu wao hawajui

Ambacho CCM na watu wao hawajui

Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.

Yaani upeo wa bibi kizee hauwezi kuwa sawa na babu kizee.Maana kilichoongelewa ni kingine lakini bibi anadandia kivingine kabisa.Halafu reaction imeambatana na panic.
 
Hapana tumamuweka muislam Dun

Yule kikaragosi mdebwedo nae hajijuwi hajitambuwi, yupo yupo tu. Siku hizi naona anavaa mashati kama ya Lowassa.

Kaambiwa vile vi Kaunda suti vyake vinavyoonesha mpaka nguo ya ndani aviache.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Ni kweli usemayo ...watu wanataka mabadiliko lakin...ikiwa..umefanya upembuziii siyo ili mradi tu...tunaposema mabadiliko hakuna asiyependa mabadiliko...lakin mabadiliko yepi....na je huyu nnaemchagua atabadilisha...?na anaposema atabadilisha..je yanatoka moyoni?...tuangalie hili tena huku tukifanya upembuziii.huyu ni nani alikuwa wapi atafanya niniii.....
.nieleweke...
 
Utakuta mtu mwenye akili timamu anaipenda CCM miaka mingapi wametutawala bila manufaa yoyote kuweni basi achem kutuharibia siku ___________ Mtu mzima anasema labda si Tanzania hii mmmmmmm hujitambui
 
Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.

Wewe FAiza sasa unakuwa juha!. Mlutheri anakatazwa kuongoza nchi kwa katiba ipi? Ondoa hapa ushetani wako na kama hutaki kufa. Pumbavu kabisa.
 
Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.

Acha ulimbukeni mkuu! We ni mtu mzima unaongeaje huu ujinga na umefaidika nini baada ya kuandika haya sasa? Ukiwa kitandani na bwashee unaweza kuongea ujinga kama huu? Haufananii na haya mambo unayoandika kabisa!!!
 
Yule kikaragosi mdebwedo nae hajijuwi hajitambuwi, yupo yupo tu. Siku hizi naona anavaa mashati kama ya Lowassa.

Kaambiwa vile vi Kaunda suti vyake vinavyoonesha mpaka nguo ya ndani aviache.

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Hajitambuwi = hajitambui
 
Ushabiki mwingine hadi aibu kuujibu! Watanzania ambao wanaowaza kama wewe ni wapi Bosi? Ninachojua propaganda hizi ni planned na baadhi ya watu wananufaika kwa kueneza haya. Unadhani hao wanaosema watamfuata ENL popote alipo wanapenda chochote UKIWANI huko? Unadhani wanaamini ktk katiba ya wananchi kwa dhati?
Ukiondoa watu wanaotaka ENL awe rais kwa gharama zozote hakuna atakayekwambia yupo tayari nchi itawaliwe hovyo hovyo bila Ilani wala chama kinachoeleweka eti kisa SISI waondoke. Wewe? Tumechanganyikiwa sana kwa tuliyofanyiwa na SISI lkn si wengi sana tulioamua kujizira kwa ushabiki mbumbumbu kama ishara ya kukata tamaa!

Dogo hakikisha mwakani unajiandikisha kurudua paper ya form four maana utajajuta huko tuendako! una akili mingi sana ila ndo hivyo akili imekuwa na vurugu za maono.
 
Kitu ambacho C.C.M na watu wao hawafahamu ni kwamba, kwa sasa waTanzania wanachotaka ni mabadiliko tuu, haijalishi ninani ambaye atayaleta, kwaiyo hata kama ni Membe au Wassira angekuwa UKAWA, angeshinda tuu kwasababu watanzania wanachotaka ni kuweka serikali nyingine madarakani, haijalishi ni nani ataiyongoza hiyo serikali. Sasa wao kupoteza muda kumshambulia Lowassa majukwaani ni sawa na bure kwasababu hawajaelewa target ya watanzania ni nini.

My take, serikali sio kama wazazi wako ambao hata kama wakikukose huwezi kuwakataa, bali serikali ni kama nguo, inapo chakaa lazima utanunua nyingine tuu, NO MATTER WHAT!

kwa saa, tunataka kununua nguo nyingine! hii ya sasa imeshachakaa sana mpaka majirani wenzetu wanatushangaa kwa nini bado tunavaa nguo ile, ile kwa nusu karne sasa na wakati imeshachakaa.

unaonaje na amani tukaibadilisha mana tumekua na amani muda mrefu mpaka majirani wenzetu wanatushangaa!
 
Acha ulimbukeni mkuu! We ni mtu mzima unaongeaje huu ujinga na umefaidika nini baada ya kuandika haya sasa? Ukiwa kitandani na bwashee unaweza kuongea ujinga kama huu? Haufananii na haya mambo unayoandika kabisa!!!
Mkuu katika watu ninaowaonanaga vilaza ni pamoja na FaizaFoxy
Yan ni mkubwa kwa umri tu ila kichwani kajaza maji taka!
Achana naye asikuumize kichwa!
 
Last edited by a moderator:
Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.

ivi wewe bibi nani alikulipa umchafue lowasa kiasi hiki? Ivi akiapishwa li sura lako libaya utalificha wap?

Magamba wenzio wamepoa ila wewe unawaka kama kibatali? Sijui lowasa alikukosea nin?
 
Back
Top Bottom