Ambacho CCM na watu wao hawajui

Ambacho CCM na watu wao hawajui

Kitu ambacho C.C.M na watu wao hawafahamu ni kwamba, kwa sasa waTanzania wanachotaka ni mabadiliko tuu, haijalishi ninani ambaye atayaleta, kwaiyo hata kama ni Membe au Wassira angekuwa UKAWA, angeshinda tuu kwasababu watanzania wanachotaka ni kuweka serikali nyingine madarakani, haijalishi ni nani ataiyongoza hiyo serikali. Sasa wao kupoteza muda kumshambulia Lowassa majukwaani ni sawa na bure kwasababu hawajaelewa target ya watanzania ni nini.

My take, serikali sio kama wazazi wako ambao hata kama wakikukose huwezi kuwakataa, bali serikali ni kama nguo, inapo chakaa lazima utanunua nyingine tuu, NO MATTER WHAT!

kwa saa, tunataka kununua nguo nyingine! hii ya sasa imeshachakaa sana mpaka majirani wenzetu wanatushangaa kwa nini bado tunavaa nguo ile, ile kwa nusu karne sasa na wakati imeshachakaa.
Kule milima ya Usambara nguo kama hiyo inaitwa SHAKAZA mzee Lodi lofa aka Mkapa anajua sana jina la nguo hizo akikaa na wazee (kama anakaa) wenzie pale Mkuzi. Hakuna anayependa kuvaa "shakaza" ambayo ni ccm kwa sasa.
Au siyo wazee wa kazi zumbemkuu na Elli ?
 
Last edited by a moderator:
unaonaje na amani tukaibadilisha mana tumekua na amani muda mrefu mpaka majirani wenzetu wanatushangaa!

Kwa hiyo Ilani yenu ina neno moja tu amani?
 
Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.

Hebu tusaidie wewe kibaraka wa Vatican na Mlutheri bora yupi?
Mwaka mmepatikana ukiinama nchale ukiinuka nchale tu. Huu ndio mfumo kristo rasmi.
 
Back
Top Bottom