Ambacho CCM na watu wao hawajui

Ambacho CCM na watu wao hawajui

Chali wa Moshi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
258
Reaction score
61
Kitu ambacho C.C.M na watu wao hawafahamu ni kwamba, kwa sasa waTanzania wanachotaka ni mabadiliko tuu, haijalishi ninani ambaye atayaleta, kwaiyo hata kama ni Membe au Wassira angekuwa UKAWA, angeshinda tuu kwasababu watanzania wanachotaka ni kuweka serikali nyingine madarakani, haijalishi ni nani ataiyongoza hiyo serikali. Sasa wao kupoteza muda kumshambulia Lowassa majukwaani ni sawa na bure kwasababu hawajaelewa target ya watanzania ni nini.

My take, serikali sio kama wazazi wako ambao hata kama wakikukose huwezi kuwakataa, bali serikali ni kama nguo, inapo chakaa lazima utanunua nyingine tuu, NO MATTER WHAT!

kwa saa, tunataka kununua nguo nyingine! hii ya sasa imeshachakaa sana mpaka majirani wenzetu wanatushangaa kwa nini bado tunavaa nguo ile, ile kwa nusu karne sasa na wakati imeshachakaa.
 
Umewaza kama mimi kabisa katika hili. Hakika hawajajua target ya wananchi na ndiyo maana hata mbinu yao ya kumtumia Dr. Slaa haijafaulu badala yake iliwarudi.
Ahsante kwa mtazamo wako!
 
Kitu ambacho C.C.M na watu wao hawafahamu ni kwamba, kwa sasa waTanzania wanachotaka ni mabadiliko tuu, haijalishi ninani ambaye atayaleta, kwaiyo hata kama ni Membe au Wassira angekuwa UKAWA, angeshinda tuu kwasababu watanzania wanachotaka ni kuweka serikali nyingine madarakani, haijalishi ni nani ataiyongoza hiyo serikali. Sasa wao kupoteza muda kumshambulia Lowassa majukwaani ni sawa na bure kwasababu hawajaelewa target ya watanzania ni nini.

My take, serikali sio kama wazazi wako ambao hata kama wakikukose huwezi kuwakataa, bali serikali ni kama nguo, inapo chakaa lazima utanunua nyingine tuu, NO MATTER WHAT!

kwa saa, tunataka kununua nguo nyingine! hii ya sasa imeshachakaa sana mpaka majirani wenzetu wanatushangaa kwa nini bado tunavaa nguo ile, ile kwa nusu karne sasa na wakati imeshachakaa.

Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.
 
Faiza Mbona unapenda kujikita kwenye udini? Hao CCM waliohadaa umma wa waislam kwa kuweka kwenye Ilani yao ya Uchaguzi swala la Mahakama ya kadhi,ili wavune kura,haikuwa udini? pia EL alishaomba msamaha na Amepewa onyo na NEC,tuanze kujadili Mabadiliko ya UKAWA na Magufuli, kwakuwa CCM imemteua Magufuli kama Mgombea Binafsi kukwepa tuhuma zake za 'kidumu Chama cha mapinduzi' zisizo na Mashiko kwa sasa.
 
Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.

Umeambiwa yeyote atakayesimama kinyume na CCM atashinda. Awe mlutheri, mwaislam, mpagani, na hata liwe jiwe wananchi tunataka mabadiliko! Mfumo wa CCM hautufai tena. Na hapo mtu atakula jasho lake si kwa kuua tembo wetu, kusafirisha twiga na magogo yetu, kuuza dawa zetu zilizopo hospitalini na zahatini, kula rushwa polisi na mahakamani na kushindwa kutoa haki, kwa kuuza dawa za kulevya n.k.
 
Ushabiki mwingine hadi aibu kuujibu! Watanzania ambao wanaowaza kama wewe ni wapi Bosi? Ninachojua propaganda hizi ni planned na baadhi ya watu wananufaika kwa kueneza haya. Unadhani hao wanaosema watamfuata ENL popote alipo wanapenda chochote UKIWANI huko? Unadhani wanaamini ktk katiba ya wananchi kwa dhati?
Ukiondoa watu wanaotaka ENL awe rais kwa gharama zozote hakuna atakayekwambia yupo tayari nchi itawaliwe hovyo hovyo bila Ilani wala chama kinachoeleweka eti kisa SISI waondoke. Wewe? Tumechanganyikiwa sana kwa tuliyofanyiwa na SISI lkn si wengi sana tulioamua kujizira kwa ushabiki mbumbumbu kama ishara ya kukata tamaa!
 
huna akili na hujitambui kwako wewe chadema sio chama na ilani inayosambazwa kwako ni kipeperushi dharau za kufanya nchi ni ya CCM ndio imewafika hapa munazomewa munaendesha kampeni kwa gharama kubwa sana lazima mununue kanga malori na vihela vya kuwapa wanafunzi kujaza mikutano ya CCM bila ally kiba diamond wema hakuna anayekaribia mikutano yenu poleni
 
Haitawezekana kuweka serikali zaidi ya chama cha mapinduzi,subirini muongozwe na ccm
 
Back
Top Bottom