Amazing Race in our beloved Country

Amazing Race in our beloved Country

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,283
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
He he he..niliiona jana, jamaa walikuwa Karatu. Picha zote ni za sehemu zile za kulikoungua shoka, kwa nini hawakuweka angalau picha moja ya Arusha mjini?.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
He he he..niliiona jana, jamaa walikuwa Karatu. Picha zote ni za sehemu zile za kulikoungua shoka, kwa nini hawakuweka angalau picha moja ya Arusha mjini?.

Hahahahah LOL! ni kweli Mkuu, nchi nyingine nyingi wanaonyesha sehemu zinazovutia sana hata mtu unatamani kwenda kutembelea lakini wametusaidia sana katika kutangaza utalii nchi za nje maana kipindi hicho kinaangaliwa na watu wengi katika nchi mbali mbali duniani..
 
 
Last edited by a moderator:
Watch John Legend" show me" on U tube ,potrays zanzibar reality the very birth place of queens band legend mercury, guess another one bites the dust.
 
Yap! niliipenda sana hii. Tanzania nchi yangu nzuri. Wizara ya utalii wameiona hii au wataendelea kusuasua. Wanaweza kutumia hii kuendelea kutangaza utalii nchini.
 
hii ni mara ya pili tena wamekuja Tanzania. na ni coverage nzuri sana kwa nchi yetu. tena kuna episode mbili ambazo shooting yake ilifanyika TZ.
 
Back
Top Bottom