simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,760
- 9,667
Siyo kawaida.Yupo juu sana.Jamaa anaweza sana aiseeee
Aiseeee!! Nimekuta hadi nasisimka. Jamaa anaweza kwa kweli. Ukimwambia Mond au Kiba afanye hivi anaweza akapuu stejini [emoji13] [emoji13] [emoji13]Bongo tutafika lini kiwango hiki cha uimbaji?
Whitney Houston-I Have Nothing.Bongo tutafika lini kiwango hiki cha uimbaji?
aseehJamaa anaweza sana aiseeee
America's got talent should look no further, we have a winner .Speechless loh