Macho Makavu
Member
- Aug 19, 2019
- 17
- 17
Hmmmm...Haka kamsemo ka gari jekundu kananipa udadisi sana ni kweli gari jekundu au gari kupitia """wekundu wake"""
Hmmmm...Haka kamsemo ka gari jekundu kananipa udadisi sana ni kweli gari jekundu au gari kupitia """wekundu wake"""
Wema na uwoya wapo kwenye listAngekuwepo hai hadi leo huyu mzee Hamisa mobetto,Wolper,uwoya,Wema,Amber lulu,Gigy angeshawapiga pu.mbu
Wanawake 40 ukiwa na Pesa si ni siku 40 unakuwa umeshawala wote mkuu?Hao WANAWAKE WOTE alikuwa anawatumia MUDA gani?
Siku arobaini nyng sana, sku 13 had 15 unakuwa ushamaliza wte.Wanawake 40 ukiwa na Pesa si ni siku 40 unakuwa umeshawala wote mkuu?
Kumbe siku za nyuma ulikua una andika vizuri hivi we Pdidy haya makorokocho ya siku hizi umeyatoa wapi?Hi guys!
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...
Kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi tumwagie. Ninachofahamu alielekea hospital ya Aghakhan na baadae kuruhusiwa, kutokana na pressure na kisukari.
Mie "chichemi"
WEka picha yake mkuuHi guys!
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...
Kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi tumwagie. Ninachofahamu alielekea hospital ya Aghakhan na baadae kuruhusiwa, kutokana na pressure na kisukari.
Mie "chichemi"
Ilifika hatua alitaka kuibetua nyumba yakeNa hizo RAV4 NYEKUNDU alizokuwa anawapa hao WANAWAKE ni bora angelikuwa amefungua SHOWROOM YA KUUZA MAGARI, pengine ingelisaidia hata familia yake.
Hakuwa anawala kivile, niliwahi kuwa meneja hoteli fulani alikua akileta dame, anampack hapo, anapotea hata mwezi, akija, analipa bill, na kuondoka, hata akiingia chumbani kwa dame, dakika kumi unamyona katoka, anawatoa hela za bia mbili tatu, anaenda zake,Hao WANAWAKE WOTE alikuwa anawatumia MUDA gani?
siku nyimgi sana hizo, siku tano tu.. kila siku watanoSiku arobaini nyng sana, sku 13 had 15 unakuwa ushamaliza wte.
Mahenge hko,moroAlikuwa ni MTU wa wapi huyu? Maana kuhonga WANAWAKE kiasi hicho, sio mchezo!
Two per day is enoughSiku arobaini nyng sana, sku 13 had 15 unakuwa ushamaliza wte.
Yule sijui alikua na tatizo gani asee,,,Sasa FAMILIA yake na WATOTO wana hali gani? Au hiyo ndio FEDHEA yenyewe ..
Yule si alikuwa anachota hela aka invest kwenye k za madem 😂😂Aisee! Mbona WANAUME wengine huwa hatuhongi na MAMBO yanakuwa MOTOMOTO 😁
Wakikudaka unaweza ukawaonyesha huo uharo anaouandika huyo mama?Ila JAMII FORUMS huwa ni RAHA sana!! Hivi una habari kuwa hata MAMA NDALICHAKO huwa yupo humu na yeye huwa anachangia UHARO kama kawaida
Ndalichako kitu gani Hadi Samia na Tulia ni members nashangaa siku hizi Tulia hachangii.Ila JAMII FORUMS huwa ni RAHA sana!! Hivi una habari kuwa hata MAMA NDALICHAKO huwa yupo humu na yeye huwa anachangia UHARO kama kawaida 😁😁
😄😄 aiseeKuna huu UZI Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana, MAMA NDALICHAKO yupo hapa pamoja na WAZIRI mwingine. Sema kuna wakati wadau wanachangia SHOMBO mpaka unashangaa!! Na wenyewe wanajadili MAMBO mnayowananga kama sio wao, kumbe ni wao 😁😁
Wanawake 40 ukiwa na Pesa si ni siku 40 unakuwa umeshawala wote mkuu?
😲Hi all,
i got this from a friend, dont hold me liable.