Amatus Liyumba: Balaa!

Hi guys!

Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...

Kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi tumwagie. Ninachofahamu alielekea hospital ya Aghakhan na baadae kuruhusiwa, kutokana na pressure na kisukari.

Mie "chichemi"
Kumbe siku za nyuma ulikua una andika vizuri hivi we Pdidy haya makorokocho ya siku hizi umeyatoa wapi?
 
Hi guys!

Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...

Kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi tumwagie. Ninachofahamu alielekea hospital ya Aghakhan na baadae kuruhusiwa, kutokana na pressure na kisukari.

Mie "chichemi"
WEka picha yake mkuu
 
Hao WANAWAKE WOTE alikuwa anawatumia MUDA gani?
Hakuwa anawala kivile, niliwahi kuwa meneja hoteli fulani alikua akileta dame, anampack hapo, anapotea hata mwezi, akija, analipa bill, na kuondoka, hata akiingia chumbani kwa dame, dakika kumi unamyona katoka, anawatoa hela za bia mbili tatu, anaenda zake,
Dame anakaa tena hata wiki tatu, hajaja,,
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom