Amatus Liyumba: Balaa!

Hi guys!

Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...

Kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi tumwagie. Ninachofahamu alielekea hospital ya Aghakhan na baadae kuruhusiwa, kutokana na pressure na kisukari.

Mie "chichemi"
Poleni
 
Amatus yule mwamba wa BOT?

Mtoto wake alikamatwa na mzigo wa dawa za kulebya wa mabilioni Mtwara

 
Hii kitu wengi wanao na wengine wanadunda tu miaka nenda rudi. Inategemea pia na genes.kuna maza flani anayo toka miaka ya 80. Kapitia hata enzi zile booster na minjingu (ARVs) hazijaja. Zilipokuja booster ndo zikamboost mazima yani leo ukimuona huwez amin.

King Kong III

Hao ni carrier ,Gusa Unase.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom