Amatus Liyumba: Balaa!

hizo PM basi jamani na mi nazi-mind maana inaonekana kuna mengi zaidi huko, au kama vipi tumwage hapa hapa.
 
aiseee naomba niungane nawe mpiganaji ....as yaelekea huko kwenye ku pm each other kuna mambo kweli kweli sasa kama hayawezi kumwaga uwanjani basi naombeni na mie mni pm wandugu.....mweeee mwatunyima uhondozzzz
 

duhh hii sasa ndio imenitisha kinyama...kama hadi daughter wake wa kike kamla na kumpa miwaya..atakua kaacha kweli madaughter wa wengine???

haya sasa na nyie mabitozi wapenda totoz za hali ya juu mtanue nazo mtaani haya sasa mjue mwatanua na miwaya ya nguvu thanx to the BOT fisadi wa ngono maana ufisadi uko wa aina nyingi kama muonavyo hata michuzi kawa fisadi naye kwa namna yake
 
jamani waungwana Data kama hizi kama ni za kweli ni muhimu tuwetunazipata,ni faida kwa wote,wewe na mimi,haijalishi kwamba uko wapi,kama kuna watu zaidi wanafanya haka kamchezo kakuambukiza maksudi basi itabidi tuwataje ,jamani tusifiche,nifaida yetu wote,tunaweza kusema tuko makini,ila kosa dogo tu likaharibu uaminifu
 

Duuuu?? inatisha jamani! cjui kama tutasalimika kwa mwendo huu! Make hapa ni kazi kweli kweli kuusemea moyo wa mwenzio, sasa tulio oa/kuolewa ni balaa aisee!

Ila jamani huo ufisadi wa PM ufe, we talk openly here!
 
Kama JF imekuwa na mijadala kwa mtindo wa PM, then naomba na nipate hizo PM.
 
hii hoja inautata nini? mbona jamaa wakipata
pm wanatoweka? nashindwa kusangaa kabsaaa
 
hii hoja inautata nini? mbona jamaa wakipata
pm wanatoweka? nashindwa kusangaa kabsaaa

sasa kama ina utata, na watu hutoweka kwa PM mbona Pm zenyewe za kifisadi tu??? make naona zinaenda kwa mafungu lol!
 
Ukisha pea PM unakuwa umeridhika na maelezo na unaacha kuchangia kwa ajili ya USALAMA WA TAIFA kwi kwi kwiii
 
Wana JF,
Hii issue ilinipita kushoto. Ila mwezi March mwaka huu nikiwa Tabora nilimsikia Rage akisema kuwa Dar kuna bwana anagawa MAGARI MEKUNDU na ndipo nikaona ehh, kumbe hii habari ni kweli? Nimekuja kuikuta humu ndani na kutaka kusoma zaidi ninakuta kuna PM tu. Haya kama nilichelewa namimi kuna MTU anaweza kunitumia hizo habari? Najua zimepitwa na wakati.
Naungana na SUSUVIRI kuwa huyu jamaa anatakiwa alaniwe. Kuna Mcameroon mmoja alikamatwa kwa kueneza Ukimwi nchi za watu. Huyu jamaa hakupimwa yeye moja kwa moja ila walipima wasichana na kukutwa na UKIMWI na baada ya kujua hilo walienda na kumbeba Mzobemzobe. Ila tatizo la Tanzania ukisema ufanye hivyo basi utaacha VOBOSILE wa KIKE TU. Kuna dada mmoja aliniambia kuwa pale WIZARA YA MIUNDOMBINU, Makongoro ni kama SHARK. Kila kisamaki kikikatiza hakiachii. Tena haangalii hata sura wala umri. Nilishasikia kuwa hata Benny alikuwa Mkali sana enzi zake. Sijui kwa sasa yukoje. Nafikiri huko kwao na Tanga basi akina dada wako na hali nzuri maana LIDHAMINI limeingia. Na linazo NYINGI TU.
 
Jamani na wengine tuone hizo pm mbona wanyimi? au ndio mpaka tujuane sana?
 
PM zina ubaguzi sasa maana yake nini???anyway..labda kuna classes hapa JF...ila liyumba nae amewamaliza sana dada zetu...alikuwa anawapanga kule Paradiso...hadi aibu...huyoo..dada mimacho wa EATV...na dada aliekuwa anaigiza lafidhi ya kikenyaa...miaka 5 nyumaa...waliliwa sana na jamaa huyu...
 
Bi Mkubwa hii Avatar yako na signature yako vinanifurahisha,Ngoja nipitie makabrasha yangu ili nikupitishie hiyo email...

Mwe Mwawado, wengi tumeomba na mie ndiye niliyeanza. Naona umemuona Bi-Mkubwa tu. Ehhh, itabidi na mimi nibadilishe sahihi na picha.....
Na sisi masikio yanawasha kwa hamu ya kusoma
 
usitaje sana.....presha preshaaa!
 
Mwe Mwawado, wengi tumeomba na mie ndiye niliyeanza. Naona umemuona Bi-Mkubwa tu. Ehhh, itabidi na mimi nibadilishe sahihi na picha.....
Na sisi masikio yanawasha kwa hamu ya kusoma
Hata mimi pia.....
 
Kuna dada mmoja aliniambia kuwa pale WIZARA YA MIUNDOMBINU, Makongoro ni kama SHARK. Kila kisamaki kikikatiza hakiachii. Tena haangalii hata sura wala umri.

Makongoro akitoka Bungeni kijiwe chake ni pale Swiss Pub Tabata Bima, anavinjari na vitoto akina Koku, na wake za watu akina Mama Phai. (Huo ndiyo utawala bora
 
Pdiddy... check your PMs..

Jamani hivi hata JF kumbe mnaficha habari, mnapeana wachache kwa ku-PM.
On the other side, you complain and sometimes insult governemnt officials and the likes who hide information.
Mnapokuwa manaona habari ni ya wachache mnaojiona wenye kufaa kupata details basi MODERATOR usiwe unaiache hapa UTOE KABISA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…