Hivi kwanini mara nyingi watu weusi wakitajorika basi ngono itawafilisi au kuwaua kabisa. E.g Rkelly, pdiddy, mystikal, Easy E...
Mkuu swali gumu sana!
Ila nahisi kuna sababu kadhaa ikiwemo;
1. Asili ya binadamu wote akipata kipato cha ziada huwa na desturi ya kutaka kupata furaha isiyo na kifani. Ambapo wengine ufanya casino, wengine hutaka kuwa entertained, wengine kufanya ngono na wanawake maarufu na warembo zaidi, wengine ufanya utalii kwenye hoteli za nyota 5 dunia nzima n.k
2. Wazungu kutokana na utamaduni wao hupenda kufanya utalii katika maeneo mbalimbali mazuri kama Bankok, Venice, Paris, Rome, Prague, Bercelona, London, Amstardam, Capetown, Rio de Janeiro, Malaga, Los Anges, Miami na New York n.k. Hii uwa inawasaidia sana kujifunza, kuijua Dunia na kugundua fursa. Bahati mbaya utalii siyo fantancy ya watu weusi wengi hata wakiwa matajiri.
3. Inasemekana weusi tuna high sex desire, or high libido kuliko jamii nyingine zote Duniani Vinara wakiwa ndugu zetu Caribieans hasa Jamaicans na Nigerians. Inasemekana mtu mweusi anaweza fanya ngono siku 3-5 katika wiki moja; wazungu mara 1-2 kwa mwezi; Japanise/Koreans mara 3-5 kwa mwaka. Ndio maana rate ya ubakaji katika maeneo ya weusi Duniani ni kubwa sana.
4. Pia inasemekana kuwa baadhi ya matajiri ufanya sex na watu tofauti kila wiki ikiwa ni sehemu ya matakwa ya kiimani ili kuendelea kupata mafanikio. Hao uliowataja ni sehemu ya ambao inatajwa kuwa wanaamini sex ni means.
5. vilevile, fedha huwa inakupa power ambapo unajiona una uwezo wa kufanya exceptional things ikiwemo yale ambayo wengi wanaona impossible, wewe unapata msukumo wa kuona ni possible. Mfano unaweza tu ukasema namtaka Nandi aletwe faragha kesho na ikawa. Unaweza ukakaa tu kwa TV ukaona mtu maarufu anaongea ukasema nileteeni huyu kesho na ikawa. Kuna wengine hasa waarabu na wahindi hana uwezo wa kufanya lakini anamwita mrembo alafu anamwambia ale tu uchafu wake na mrembo anatii. Pesa usipokuwa makini inaweza ikakufanya ukawa mwanaharamu wa ajabu.
6. Pia ni vema ukatambua kuwa ukiwa na mali wanawake wazuri huwa wanajireta tu wenyewe hata kama hautaki. Aidha, watu wa kati huibuka bila wewe kujua na kukutafutia warembo. kila sehemu ukienda unafuatwa. usipokuwa makini unaweza ukagonga benki nzima au hotel nzima au walimu wa shule nzima kama hauna uwezo wa kujizuia. Hadi wanaume wanajireta kama wanawake. hivyo vishawishi navyo ni chanzo.
7. Mwisho, utajiri usipoweza kuhimili unaweza ukakufanya uwe unamkufuru Mungu sana. Ndio maana Yesu Kristo alisema ni vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni kuliko Ngamia kupenya katika tundu la sindano.
Eeh Mungu wa Mbinguni muumba mbingu na ardhi tusaidie na tuepushe, bila wewe hatuwezi!