Amani ya Tanzania haijatusaidia

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,413
6,134
Mahali palipo na amani nani amekuambia ndio panakuwa na maendeleo angalia wayahudi wamepigana vita vingapi nasisi tumepigana vita vingapi halafu fananisha maendeleo Africa kusini wamewekewa vikwazo marangapi nasisi hatujawahi wekewa hata maramoja lakini wametupita maendeleo sisemi amani ni mbaya lakini amani ya kulala na kuamka haisaidii mana haina malengo
 
kwahiyo kwa lugha " nyepesi " au " nyoofu " ni kama vile unataka watanzania tuchapane yaani kisanuke si ndiyo? sasa unaonaje wewe ukawa ndiyo wa kwanza ili utuonyeshe sisi mfano wa mapigano kwa kutoka hapo kibarazani kwako ulianzishe humo barabarani halafu sisi tutakufuata nyuma kuliko kujitutumua humu nyuma ya keyboards hizi kwa kujifanya huitaki na hata huiheshimu amani hii tuliyonayo na ambayo hata mataifa makubwa na yaliyoendelea wanaishangaa na hasa kuitamani.
 
acha masikhara wewe bila amani hata heshima ya mzazi wako ingeshuka.

kama hupendi amani njoo hapa JWTZ tunatoa ofa ya kwenda somalia na darfuu sudan kupambana na waasi huko.
njoo nitakusaidia kwani huko utajifunza maana ya amani.
 
Back
Top Bottom