Ushindani wa halali... wewe vipi Naibu?Huyu Karume kwanini yeye hakumwachia Seif mwaka 2005?
At least ametoa ukweli wa kinachoendelea ndani ya chama.......!!!Porojo za kisiasa hizo!
Huyo tangu mwanzo alionyesha utofauti na maccm wenzake lkn hilo halimuondolei kuwa ni mwana ccmRais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015 ,wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea katika uchaguzi huo akisema yeye alikuwa miongoni mwa wajumbe wa CCM waliokuwa wakifanya majadiliano na Maalim Seif baada ya uchaguzi ili kujua hatma ya Zanzibar.
:
Uchaguzi huo ulifutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakati huo Mwenyekiti wake akiwa Jecha Salim Jecha aliyeamua kufuta matokeo yaliyokuwa yakiendelea kutangazwa kisha ukatangazwa uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20 2016 ambao Maalim Seif aliususia.
"Nilishangaa hata wana CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, niliwauliza kwani hawa wenzetu si Watanzania? Hawataki haki na usawa? Niliwaambia Maalim Seif ni mtu muungwana kuliko hata walivyokuwa wakimuona na kumpa majina mabaya"-Karume.
Leo ndiyo nimepata kumuelewa sana shangaziAt least ametoa ukweli wa kinachoendelea ndani ya chama.......!!!
Wewe mwenyewe mmoja wao wanaosemwa na Karume, ndio maana mnawapenda sana polisi.Porojo za kisiasa hizo!
Wacha kumpamba huyo machinga wa misosiUshindani wa halali... wewe vipi Naibu?
Umerogwa wewe siyo bureHuyu Karume kwanini yeye hakumwachia Seif mwaka 2005?
Huyu Karume kwanini yeye hakumwachia Seif mwaka 2005?
Wao ndio watanzania wengine sio🤣🤣Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015, wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea katika uchaguzi huo akisema yeye alikuwa miongoni mwa wajumbe wa CCM waliokuwa wakifanya majadiliano na Maalim Seif baada ya uchaguzi ili kujua hatma ya Zanzibar.
Uchaguzi huo ulifutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakati huo Mwenyekiti wake akiwa Jecha Salim Jecha aliyeamua kufuta matokeo yaliyokuwa yakiendelea kutangazwa kisha ukatangazwa uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20 2016 ambao Maalim Seif aliususia.
"Nilishangaa hata wana CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, niliwauliza kwani hawa wenzetu si Watanzania? Hawataki haki na usawa? Niliwaambia Maalim Seif ni mtu muungwana kuliko hata walivyokuwa wakimuona na kumpa majina mabaya"-Karume.
2005 Kuna kiongozi alidhihirisha hofu. yake kwa mustakabali wa kabisa ikiwa ccm itashindwa,juzi hapa mbunge mmoja bungeni akakaziaWao ndio watanzania wengine sio🤣🤣