Short gun aliyoishika huyo askari hapo juu ni moja ya silaha za kawaida sana, inaingiza risasi tano.
Hutumika sana kwa ulinzi wa nyumbani na private security companies.
Kwa mfano kama kweli watu wangedhamilia kufanya uvamizi kama taarifa za 'kiintelijensia' zilivyodai, na wavamizi wangekuja na AK47, huyo askari angeitupa hiyo short gun bila kupiga hata risasi moja.
View attachment 70091
Job-hundred mahakamani....laiti angelijua masikini................
hicho kisuruali alichovaa ndiyo kinaitwaje vile kidini?
hicho kisuruali alichovaa ndiyo kinaitwaje vile kidini?
View attachment 70091
Job-hundred mahakamani....laiti angelijua masikini................