Amani Haiji Ila kwa Ncha ya Upanga?

Amani Haiji Ila kwa Ncha ya Upanga?

tatizo askari wetu wana miaka zaidi ya 20 hawajaonja vita Mura
Kapendeza kikamanda ila geresha tu...akitishiwa tu anatoka nduki huyo..au anaishia kulipua waandishi wa habari... Waende Marekani wapate mafunzo ya SWAT....kidogo
 
Job-hundred mahakamani= kazimia mahakamani!
Hahahaa....!
inawezekana mke wake kajifungua siku za karibuni na yeye ndo alikuwa anategemewa kulea familia.sasa akifikiria kilichompata lazma adondoke!
 
ndo tumefikia stage hii Tanzania?? Tutaaanza kuwa kama Uganda sasa hivi, kila kona kuna polisi wa kutuliza fujo, kitu kidogo tu mabomu ya machozi..tufikiri mara mbili, ni mtoto wako na mjukuu wako wataoumia zaidi kama haya mambo ya dini hatutasuluhisha. Alafu wale wa Zenj ambao wanaona faraja kuona amani ikipotea, take a look at yourself in the mirror and see how dumb you are. Watu siku hizi wanaendelea, msumbiji, Uganda eti sisi ndo tunaaumua kurudi kwenye 1980s.

Mimi kwa upande wangu, naona kama NI MAANDAMO YA AMANI, BASI TUYAKUBALI TU..LKN WAKIANZA FUJO HAPANA. Maandamo huwa yanatoa nafasi kwa more coverage na huwa yanasaidia watu kuwasikiliza malalamiko hayo, ndo maana freedom of association is a fundamental right recognized internationally
 
Tuulikuwa tunaambiwa hawa ni magaidi ili kututoa kwenye reli.....
 
Back
Top Bottom