Amana Benki ya Kiislamu yaanzishwa Tanzania

Hakuna riba jisomee jinsi "islamic banking inavyofanya kazi" usitoe majibu kabla ya ufahamu

Ni darsa kubwa kabisa hilo...

Benki inapataje faida? Kwa mfano nikikopa TSh 10m/- kwa ajili ya "General purposes" nitarudisha TSh 10m/- baada ya lets say 2yrs hiyo hiyo au kuna "cha juu?" Kama kuna "cha juu" kinaitwaje?
 
Unajua maana ya riba?? tuanzie hapo..ili nijue nianze vipi kukufundisha? nini maana ya riba?
 
Benki inapataje faida? Kwa mfano nikikopa TSh 10m/- kwa ajili ya "General purposes" nitarudisha TSh 10m/- baada ya lets say 2yrs hiyo hiyo au kuna "cha juu?" Kama kuna "cha juu" kinaitwaje?

Kunakuwa kuna "fixed fee" ambayo unaelewa toka mwanzo na haiongezeki kama riba. Kumbuka hapa unaongelea "general purpose" na si "specific loan".
 
Jibu maswali yangu kama utaweza! Mtu akikopa TSh 10m/- atarudisha TSh 10m/- au zaidi? Kile kinachozidi, kinaitwaje?

Ndio maana nakuuliza kwanza unajua maana ya riba?

Naomba ujibu hilo kwanza halafu nikufundishe "islamic financing" vipi mbona una haraka?? nataka kujua uelewa wako wa mambo ya banking
 
Wewe kama una nia ya kuelimisha anzia na maana ya riba kisha endelea!
 
Kama hutaki kutoa elimu hulazimishwi, maana umeshaanza kejeli!

Angalia post yakp #53 ndio utajua nani anayetoa kejeli???

Kwanza kuna tofauti kati ya riba (interest) na faida (profit)

Islam prohibits riba and allows profit...

Tuanzie hapo>
 
Back
Top Bottom