mimi na udini ni sawa na maji na mafuta yatatengana tu, so sina haja ya mkombozi wala amana, ipo nbc, crdb, tpb, azania, akiba, stanbic, etc etc yanini tutengane kwa vitu vya dini, kama tunataka hiyo misingi basi benki zetu hizo hizo saana saana tunaweza kuweka masharti unataka ya fix fee au hiyo ya riba.what is your point?
Ukiona vipi unaweza kwenda kufungua na kuweka hela zako mkombozi bank ok..
Wenye kufanya ibada zao waache wafanye
maana ya benki ya kila jumuiya ndio inazidi kututenganisha, hivi sasa tu tuko wamoja katika hizo benki hisia zimeanza sasa tukija kwenye mambo kama haya si utengano utazidi