Amakweli CHADEMA inabeba watu. Huu ndio ukweli.

Amakweli CHADEMA inabeba watu. Huu ndio ukweli.

Hizo ni dalili zote za ushoga. Mwanaume utabinua vipi midomo nakubana pua, halaf unaskia kichefchef, daaaaaah!!! Kwahiyo unaliwagwa 0713???? Acha hizo.

sawa kamanda! Kiukweli umeniquote kwenye eneo nyeti sana kwa wewe kutoa hoja yako hii. Ila nimefurahi sana kuona umenielewa kile nilicho post.
 
mkuu. zito hajawahi kuhama
chama kama hawa makanjanja wa
chadema
1.lema~ alikuwa ccm, akaenda tlp,
sasa chadema, ni mroho wa
madaraka, pesa na jambazi la
magari lililostaafu.
2.mbowe~alikuwa ccm, na sasa
chadema, alikuwa dj. ni mpiga dili
maarufu na msanii...amewauzia
magari mabovu chadema kwa bei
ya juu sana, amejimilikisha gazeti
la chadema TANZANIA DAIMA,
anakopesha chama kwa riba ya juu
sana
3. slaa- alikuwa ccm na sasa
chadema, ni padri alieasi kanisa,
ana kashfa ya kula hela za kanisa
kwenye ujio wa papa. ,
amejikopesha hela za ruzuku ya
chama kinyume na taratibu za
chama. ameshinikiza chama
kimlipe mshahara mkubwa kama
mbunge, kadi yake ya ccm bado
anayo na anailipia kila mwezi
4.mtei- alikuwa ccm na sasa
chadema . aligoma kupigania
uhuru na nyerere. mtei ndio
anachagua viongozi wa chama pale
shambani kwake tengeru, kamati
kazi yake ni kupitisha tu viongozi
aliowachagua, ki ufupi ni dikteta
 
Kwani cdm hakijabomoka? Chama kutumia bilioni na kupata kata 3 ushangai

nani alikudanganya kwamba chopa zilikuja kutafuta kata ? MH DR SLA AMEFANYA MKUTANO MPAKA KYELA , KULIKUWA NA UCHAGUZI KULE ?
 
mkuu. zito hajawahi kuhama
chama kama hawa makanjanja wa
chadema
1.lema~ alikuwa ccm, akaenda tlp,
sasa chadema, ni mroho wa
madaraka, pesa na jambazi la
magari lililostaafu.
2.mbowe~alikuwa ccm, na sasa
chadema, alikuwa dj. ni mpiga dili
maarufu na msanii...amewauzia
magari mabovu chadema kwa bei
ya juu sana, amejimilikisha gazeti
la chadema TANZANIA DAIMA,
anakopesha chama kwa riba ya juu
sana
3. slaa- alikuwa ccm na sasa
chadema, ni padri alieasi kanisa,
ana kashfa ya kula hela za kanisa
kwenye ujio wa papa. ,
amejikopesha hela za ruzuku ya
chama kinyume na taratibu za
chama. ameshinikiza chama
kimlipe mshahara mkubwa kama
mbunge, kadi yake ya ccm bado
anayo na anailipia kila mwezi
4.mtei- alikuwa ccm na sasa
chadema . aligoma kupigania
uhuru na nyerere. mtei ndio
anachagua viongozi wa chama pale
shambani kwake tengeru, kamati
kazi yake ni kupitisha tu viongozi
aliowachagua, ki ufupi ni dikteta

aya uliyo ongea ni porojo hayana ukweli wowote na hata na ivyo wahusika wote uliowatuhumu walikwisha yatolea ufafanuzi aya unayoyasema .
 
nani alikudanganya kwamba chopa zilikuja kutafuta kata ? MH DR SLA AMEFANYA MKUTANO MPAKA KYELA , KULIKUWA NA UCHAGUZI KULE ?

mkuu achana nae wenzio wanaleta ubishani wao wa buku 7 wanazolipwa ili wapinge kila kitu kinacho isema ccm majangili na wauza madawa ya kulevya.
 
Back
Top Bottom