Amakweli CHADEMA inabeba watu. Huu ndio ukweli.

Amakweli CHADEMA inabeba watu. Huu ndio ukweli.



Zitto hajatoka Chadema ndio maana bado unahisi ni maarufu, lakini kama unataka kuwafahamu wale wengine ni pamoja na: Dr Walid Kaburu,Juliana Shonza,Habibu Mchange,Adam Chagulani,Dr Kitila Mkumbo....................... Loo orodha ni ndefu. Halafu hapo kwenye Red ni kiswahili au kiingereza?

hahahaha....! Pamoja sana mkuu. Inaelekea dogo bado mchanga.
 
kama uamini njoo nenda mwanza kuna dogo anaitwa chagulani yani mvuto wake umepotea,na huyu nyakarungu nenda facebook profile uone alivokosa akili anachopost ni sawa na dogo langu la azaboy,,huyu nani huyu wa kibaha mchanga cjui nae amekua kama hajamaliza udom,kweli cdm inawabeba
 
kama uamini nenda mwanza kuna dogo anaitwa chagulani yani mvuto wake umepotea,na huyu nyakarungu nenda facebook profile uone alivokosa akili anachopost ni sawa na dogo langu la azaboy,,huyu nani huyu wa kibaha mchanga cjui nae amekua kama hajamaliza udom,kweli cdm inawabeba
 
Mkuu ukweli umeunena kazi ni kwao kuamini au kutoamini hawa LB7 pamoja na hawa traitors.
 
Samahani ndugu Yericko hivi ule utafiti wako ulioufanya kuhusu dhana ya "UGAIDI " na ukaleta uzi hapa kwamba unataka kuchapisha kitabu umeishia wapi...nilisikia eti ulisahau kuchange ID yako ukajikuta unajijibu mwenyewe..ni kweli mkuu..??

Ni uongo wa Pasco tu, walininukuu vibaya tu
 
Mleta uzi umeona mbali,hata ambao bado wana ka-umaarufu kanaletwa na uzi mdogo sana ulioshikiliwa na mahakama kuwaunganisha na cdm.
kama kuna mtu anabisha,awashauri wakate huo uzi kwa kufuta kesi uone mziki wake.
 
Chadema haina watu ila inabeba kikundi furani cha walaghai kinachofanya biashara ya kisiasa na kulaghai watu.
vipi si ulisema uko bungeni? Kama hujaolewa hutapata mme na kama umeolewamuda si mrefu utachika? Umbeya haufai? Kama uko bungeni tuliza kichwa huko tunahitaji katiba mpya.
 
Ujumbe umefika mkuu, nilikua najiuliza hivi ni kweli!!? ZZK ni mfano mzuri, zamani alikuwa akitoa post yoyote kwenye account zake kwenye social networks (facebook na twitter) ni ndani ya muda mfupi sana ungeweza ona "like" na "comments" nyingi sana lakini tangu atemwe na CDM hata aweke post ya maana na inayogusa maslahi ya Taifa kiasi gani maskini utamuonea huruma kwani zinaweza pita siku tatu ana like 28 na comments 4 tu!!!
 
Kufukuzwa kubaya, kama unabisha mfukuze demu au bwana yako uone anavyokuwa mpole, CDM kama oxygen isipoipata lazima ufe kama sio leo kesho
 
Nshomileeeeeee baada ya kuona fwatilia nikajua tu unatoka Kagera
 
wewe ni kama mimi kila nikitafakari,naona majibu yako wazi, hata wale wa lio jiuzuru juzi walitumwa sasa wameshindwa kufanikisha walichotumwa wanajidai eti wamejiudhuru tena kwa hoja za kuku kapanda baiskeli
 
wewe ni kama mimi kila nikitafakari,naona majibu yako wazi, hata wale wa lio jiuzuru juzi walitumwa sasa wameshindwa kufanikisha walichotumwa wanajidai eti wamejiudhuru tena kwa hoja za kuku kapanda baiskeli

mkuu ukweli haujifichi! Pamoja sana kamanda.
 
Back
Top Bottom