Kiukweli wanajamvi nimetamani kushare nanyi jambo ili,ambalo nimelifanyia utafiti mdogo nanikafanikiwa kubaini kitu.
Mimi nimesema na nafsi yangu na wewe sema na nafsi yako kwanza kisha changia.
Ndugu zangu kiukweli nimewafatilia kwa ukaribu karibu wote waliojitoa na kufukuzwa uwanachama ndani ya chadema,kiukweli wanakuwa kama weu alafu wanapungukiwa vitu vifuatavyo kama vile kukosa tena mvuto katika jamii,pia hawana hoja wanapokua wanaongea mbele ya watu. Kutokana na machache niliyoyabaini,nalazimika kusema ya kwamba;chadema inawabeba wanachama wake tofauti na tunavyo aminishwa na wasaliti wetu eti bila mimi chadema(samanini nimebana pua na kubinjua midomo kuonyesha nijinsi gani walivyokua wananichefua). Ila kama unabisha wafatari kwa ukaribu karibu wote walio tumuliwa na wale wote walio iama chadema. Lazima utawaona wanaongea pumba.