Amakweli CHADEMA inabeba watu. Huu ndio ukweli.

Amakweli CHADEMA inabeba watu. Huu ndio ukweli.

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
1,159
Reaction score
1,054
Kiukweli wanajamvi nimetamani kushare nanyi jambo ili,ambalo nimelifanyia utafiti mdogo nanikafanikiwa kubaini kitu.
Mimi nimesema na nafsi yangu na wewe sema na nafsi yako kwanza kisha changia.
Ndugu zangu kiukweli nimewafatilia kwa ukaribu karibu wote waliojitoa na kufukuzwa uwanachama ndani ya chadema,kiukweli wanakuwa kama weu alafu wanapungukiwa vitu vifuatavyo kama vile kukosa tena mvuto katika jamii,pia hawana hoja wanapokua wanaongea mbele ya watu. Kutokana na machache niliyoyabaini,nalazimika kusema ya kwamba;chadema inawabeba wanachama wake tofauti na tunavyo aminishwa na wasaliti wetu eti bila mimi chadema(samanini nimebana pua na kubinjua midomo kuonyesha nijinsi gani walivyokua wananichefua). Ila kama unabisha wafatari kwa ukaribu karibu wote walio tumuliwa na wale wote walio iama chadema. Lazima utawaona wanaongea pumba.

Soma hapa..
Haya aliyanena Zitto Z. Kabwe miaka miwili iliyopita:"Tumegundua kuwepo kwa juhudi za makusudi kutugombanisha CHADEMA.
Hiki ni chama makini, kimezibaini njia hizo na kwa hakika hakiwezi kusambaratishwa.CHADEMA ndiyo imenipa Umaarufu mimi.Mimi si maarufu kuliko Chama, CHADEMA ni taasisi.CHADEMA ni chama ambacho kina misingi katika uanzishwaji wake.Wanasema eti nilishinda kwa umaarufu wangu binafsi.SI KWELI. Niligombea ubunge nikitokea shule.Sikuwa najulikana. Niliikuta 'grassroot network'ya Chama.Hakikujengwa na mimi. CHADEMA ilijengwa na uongozi uliokuwepo. Nilikuta uongozi intact ( imara). Katika kila kijiji kulikuwa na uongozi na hata katika vitongoji vyote Wakati naingia kugombea ubunge kulikuwa na wanachama wa CHADEMA wenye kadi wanaofika katika jimbo zima.Katika mazingira kama haya utasemaje kuwa mimi ni maarufu kuliko chama wakati chama ndicho kimenipa umaarufu?CHADEMA ni Chama ambacho wenyeviti wake wastaafu wanaendelea kuenziwa na kuhudhuria vikao vyote vya Chama.

Kumbe hata zito alilijua hili?
 
Hukuwa na haja ya kufanya utafiti. Ni sawa na mtu aliyezaliwa me aende kufanya utafiti kama ye ni me. Samahanini kwa huo mfano wangu, lakini namaanisha kuwa, CDM ndiyo Maarufu si mtu. Ukijiondoa au kuondolewa kwenye ule umaarufu anabaki debe tupu lenye lebo tu. Mali ni cdm. Ndo maana watu wanatofautishwa na hivyo vyama vingine. Chadema imo mioyoni mwa watu. Hata wanaojaribu kuiudhi CDM wanafika mahali mioyo inawasuta wana changanyikiwa.
 
Wewe ni muona mbali na kweli yako imekuweka huru

Samahani ndugu Yericko hivi ule utafiti wako ulioufanya kuhusu dhana ya "UGAIDI " na ukaleta uzi hapa kwamba unataka kuchapisha kitabu umeishia wapi...nilisikia eti ulisahau kuchange ID yako ukajikuta unajijibu mwenyewe..ni kweli mkuu..??
 
Hukuwa na haja ya kufanya utafiti. Ni sawa na mtu aliyezaliwa me aende kufanya utafiti kama ye ni me. Samahanini kwa huo mfano wangu, lakini namaanisha kuwa, CDM ndiyo Maarufu si mtu. Ukijiondoa au kuondolewa kwenye ule umaarufu anabaki debe tupu lenye lebo tu. Mali ni cdm. Ndo maana watu wanatofautishwa na hivyo vyama vingine. Chadema imo mioyoni mwa watu. Hata wanaojaribu kuiudhi CDM wanafika mahali mioyo inawasuta wana changanyikiwa.

pamoja sana kamanda
 
Hao watu waliotoka halafu wakawa hawsikiki ni wanani? Taja kama kitila mimi nilikuwa simjuwi ila nilikuja kumjuwa baada ya ugonvi na viongozi ma dicteta wapenda madaraka wa cdm kama wewe unamlenga zito uliza zito bado yupo juuuu na anapendwa vibaya ndio mana bado anawaumiza kichwa kila siku kajipange tena nyambafu utaenda jahanam
 
si kosa lako mkuu,ila ni matatizo yako ya kutomaliza dozi uliyopangiwa. Uliwo wataji ni baadhi kati ya msululu waliopo nyuma yao. Kwa kifupi wafwatilie madiwani walio ikimbia chadema juzi kutoke shinyanga. Pia fwatilia baadhi ya thread zinazo wazungumzia wao kupitia mkutano uliofanyika shinyanga wa leo. Kisha wafwatilie kwa ukaribu j.sho,mwa-mpa,zkabw,kit-tumbo,wale wenyeviti wa wenyeviti,n.k ila poleni sana wana ccm
 
hahahahaha hahaha hapa bila shaka utakuwa una muongelea yule mchumia tumbo toka kigoma.
 
Hao watu waliotoka halafu wakawa hawsikiki ni wanani? Taja kama kitila mimi nilikuwa simjuwi ila nilikuja kumjuwa baada ya ugonvi na viongozi ma dicteta wapenda madaraka wa cdm kama wewe unamlenga zito uliza zito bado yupo juuuu na anapendwa vibaya ndio mana bado anawaumiza kichwa kila siku kajipange tena nyambafu utaenda jahanam

Zitto hajatoka Chadema ndio maana bado unahisi ni maarufu, lakini kama unataka kuwafahamu wale wengine ni pamoja na: Dr Walid Kaburu,Juliana Shonza,Habibu Mchange,Adam Chagulani,Dr Kitila Mkumbo....................... Loo orodha ni ndefu. Halafu hapo kwenye Red ni kiswahili au kiingereza?
 
Back
Top Bottom