Wakuu sikutegemea wakongwe hawa wawili wenye medali za kimataifa kutoa song halafu isiwe hitsong.
Naomba niwape pole sana WCB pamoja na fans wao, ni wakati sasa wa kujitafakari hasa ndugu yangu Rayvanny na wenzako hii sio hatua nzuri ni mbaya maana mtapanik na mwishowe mtafeli mazima
,Ngoma imetoka audio tu na inatrend no 1 unasema imebuma...angalia jamaa wamekutwa na msiba hata ngoma hawapush lakin wapo top bado...still unasema imebuma?
Sasa subiri official video mkuu ndio uje kusema imebuma au vp
Mkuu hujaacha chuki na wcb tu? Juzi hapo ulipost nakusema Diamond hajatoa misaada aliyoahidi wakati sio kwel..leo hii unasema jamaa wameishiwa,,mbona huko nyuma hukuwah kuwasifia kama walikua wabunifu