Ama kweli wajinga...! Sangoma akitoa tiba

Ama kweli wajinga...! Sangoma akitoa tiba

Siku hizi hawali tena kuku? Mwee usangoma raha jaman!
 
.... halafu ukute alikwenda kuwanga ali amchukue mume wa mtu
 
Ama kweli kazi ipo sasa sijui hiyo tiba inaitwa je maskini lol!baadhi ya watz wakisha sikia kuna mganga ni foleni bila kujali ni tapeli au la!matokeo yake ndio haya
 
kuna mijitu utakuta imesoma mf. PHD etc alafu inaamini kabisa eti uchawi au usangoma upo.....
 
inabidi nifungue ofsi maana mtaani ukiwatongoza wanakataa ila kwa waganga wanamega tu kiulaini kama wana nawa
 
Na walitaka dawa aiingizeje.......?.......watu hawajui kuna dawa zingine haziwekwi kwa mkono eeeeh.........zina masharti muhimu..........

Hahahahaaa Preta are you serious??? Unamaaanisha unachokinena?
 
Last edited by a moderator:
Halafu akifanikiwa kupata mtato, mumewe ndo anaenda kujusufu mitaani kuna mganga mzuri
 
Ama kweli wahenga wamenena wanawake fundi wao ni kipofu
 
Na walitaka dawa aiingizeje.......?.......watu hawajui kuna dawa zingine haziwekwi kwa mkono eeeeh.........zina masharti muhimu..........

Si ndo hapo...wivu tu wanataka mwenzao asipone
 
inabidi nifungue ofsi maana mtaani ukiwatongoza wanakataa ila kwa waganga wanamega tu kiulaini kama wana nawa

Kuwa sangoma ni faida tupu hununui chakula pesa unapata na uroda unajisevia tu tena unachagua unataka ipi na kwa style ipi
 
Back
Top Bottom