Ama kweli wajinga...! Sangoma akitoa tiba

Ama kweli wajinga...! Sangoma akitoa tiba

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1412481155089.jpg
 
Aisee, halafu ukute kaambiwa asivae c.hupi.
 
Jamani maneno mengi ya siasa na haki za binadamu, ndio bongo siku zote mineno mingi lakini on this one yaani Salim hapana wote tuna macho ya kuona kuwa hatufanani naye sio mwenzetu huyu!,

Enzi za Mwalimu tulikuwa tunaogopa kusema sasa tuna nafasi ndio tulianzia Dodoma kumpa ukweli kuwa mzee si mwenzetu,

Now guys ni kweli we can talk back and forth it good for the forum, lakini huu ukweli ambao hatuhitaji kuambiwa ni vigumu kuukwepa, hapa hata siasa na usawa wa binadamu unafika mwisho, Dodoma alikataliwa kwa sababu tu ya uarabu wake sio siri, na pia ukiwauliza viongozi waliohusika watakwambia maneno ya uongo,

Suala la ubaguzi ni la damu na always wote huwa tunahusika in one way or another, ni natural sio masuala ya kujifunza siku zote binadamu tunataka kuwa karibu na tunaofanana nao, nyinyi kina Choveki na wenzako mwisho mtatuletea mambo ya ndoa za mashoga maana mna maneno mengi ya progress na ndiko mnakoelekea, mambo mengine ni kuyaacha tu kama yalivyo sisi ni weusi na waarabu ni tofauti hata tabia zetu hazifananani, hapa hamna siasa wala lecture ni mwisho wa yote, kila mtu aende kwao, na kwenye urais wa nchi yetu hatuwezi kuwa compromise kwani hata huko majuu tunajua walivyowakali inapokuja kwenye urais msituponze na hizo siasa zenu za nje nyingiiiiiii!

waganga wanakula vingi,

Hela, kuku hadi papuchii😱

Nafungua ofice miee
 
Hii inaonesha jinsi baadhi ya watu (hasa wanawake) wanavyoamini kila asemacho mtu anyeitwa mganga.Mwanamke mfanya biashara akiona biashara yake hiendi kama anavyotaka atakwenda kwa mganga na kuambiwa mambo ya kipuuzi sana na yote huyo mama atayatekeleza.Majanga yanakuja pale huyo mama akiwa Mamantilie!Kwa sababu hii nimekoma kabisa kula kwa wamamantilie. Wanachoambiwa na waganga ili biashara yao iende vizuri sithubutu kuandika hapa!
Kwenye hiyo picha ya thread tunayozungumzia, hivi kweli huyo mwanamke aliona ni sahihi kabisa kumruhusu mganga afanye hicho kitendo kwenye picha? Wajinga kwa kweli ndio waliwao
 
Ni kweli kabisa habari za mamantilie zikiandikwa hapa wengine watatapika kabisa
 
Hamna kinachofanyika hapo jamani si mnaona mganga ana shuka kiunoni?
 
Back
Top Bottom