Maendeleo ya kishetani baba mama na watoto wanaangalia picha z uchi? ustaarabu wa kishetani walioleta wazungu. Mkuu saudariView attachment 80694
Yani mwaka 1980 watu walikua wakiona tu picha wanakimbia kila mmoja kona yake ila miaka hii mtu anakaa na familia yake wakitizama.
Maendeleo ya kishetani baba mama na watoto wanaangalia picha z uchi? ustaarabu wa kishetani walioleta wazungu. Mkuu saudari
Mkuu.@saudri Kizazi cha zinaa Taifa la kizazi cha Bongo flava ahhh? Kila mtoto anaye angalia picha za uchi kwenye TV anakuwa shuleni hana akili hata kidigo. Kila wakati wa mitihani watoto wengi siku hizi wana feli mitihani shuleni kinachosababisha TV ya nyumbani haswa kuangalia filamu za uchi kwenye TV nyumbani.Na hicho ndicho kinachofanya watoto wengi kuharibikiwa kisaikolojia,
Kama unavyoelewa mtoto akiona kitu lazima na yeye ajaribu ili kuona kikoje.
Yumuombe MUNGU aliokoe hili taifa.
Mkuu.@saudri Kizazi cha zinaa Taifa la kizazi cha Bongo flava ahhh? Kila mtoto anaye angalia picha za uchi kwenye TV anakuwa shuleni hana akili hata kidigo. Kila wakati wa mitihani watoto wengi siku hizi wana feli mitihani shuleni kinachosababisha TV ya nyumbani haswa kuangalia filamu za uchi kwenye TV nyumbani.
kweli kabisa wazazi wengi wa siku hizi ni kama majina tu.kiasi ambacho hata wazazi wameshindwa kuplay part zao kama wazazi.
View attachment 80694
Yani mwaka 1980 watu walikua wakiona tu picha wanakimbia kila mmoja kona yake ila miaka hii mtu anakaa na familia yake wakitizama.
Nahisi tukingeneza katiba itakayofanana na China/N.Korea/Iran katika mambo ya Maadili na Utamaduni tunaweza kupambana na nguvu mvutano ya utandawazi. Na lazima tujiweke tayari Kuhoji na Kujadili yanayoingia kwa gia ya Hisani na Jamii Inaangamia. Ndio hapo tunalalamika watoto wa kizazi hiki hawanaakili, hawafaulu, hawana adabu, hawana ...