Ama kweli usimdharau usiyemjua

Ama kweli usimdharau usiyemjua

Kuna jamaa mmoja alikuwa houseboy wetu miaka niko mdogo.

Alikuwa mshambamshamba tu ndo katoka kijijini.

Nilikuwa napiga story na binamu yangu mmoja, ananiambia kwamba jamaa alikuja kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa sana kwa kulinganisha na alipoanzia.

Hata Magu kaja mjini tunamuona anava mapekos na masuti oversize, sasa hivi anatupelekesha puta.
Ni kweli aisee jamaa kaja mjini anavaa mikoti ya suti oversize hata ndevu ilikuwa shida kunyoa saivi ndio anatupelekesha hatari!
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa houseboy wetu miaka niko mdogo.

Alikuwa mshambamshamba tu ndo katoka kijijini.

Nilikuwa napiga story na binamu yangu mmoja, ananiambia kwamba jamaa alikuja kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa sana kwa kulinganisha na alipoanzia.

Hata Magu kaja mjini tunamuona anava mapekos na masuti oversize, sasa hivi anatupelekesha puta.
ha ha ha hah eti mapecos,imenibidi nicheke tu
 
Hadithi yako peleka kwa Shigongo mkuu.

Tafuta pesa utapata heshima hata (japo) ya kinafiki.

Ukiendekeza tabia ya kwenda kuomba chumvi kwa majirani watakudharau tu...
 
Mwaka 2013 nilihamia morogoro pamoja na familia yangu kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo, wkt Niko pale( kwasasa nishaondoka) katika pilika za maisha nilikutana na jamaa mmoja( Jina kapuni) alikuwa akijishu
ghulisha na biashara ndogondogo Sokoni, hivisasa huyu bwana amehamia Dar es salaam na familia yake, maisha yamebadika na ana hali bora zaidi, yaani mpaka yeye mwenyewe haamini. My point: Tuishi vizuri na watu tulionao, sababu huwezi jua kesho ya mtu itakuwaje

Mkuu usimchukulie mfano mtu mwenye maisha mazuri ndio hakustahiki kudharauliwa kwakua alikua hana saiv ameyapatia. Yatakiwa tusimdharau hata ambae aliyapatia ikisha yakamtoka na akawa ombaomba. Akawa mzima then ulemavu, ulemavu then uzima.

Kiujumla tusimzarau yeyote unaemjua usiemjua, mdogo mkubwa,rang yoyote, kabila lolote.
 
Ujumbe mzuri kama hali yake imebadilika kwa njia halali na hakuathiri wengine kama yale makabila tunayoambiwa yanainuka kupitia vifo vya wengine
 
Kweli kabisa, hata huyu jamaa mwanzo alikuwa na uwezo baadae akapoteza kila kitu sasa ndugu jamaa na marafiki wakamtenga kabisa, aliokuwa anakula nao bata wakapotea, maisha ya mjini yakamshinda ndo akakimbilia moro... yaani sshivi hataki kusikia cha ndugu wala rafiki
 
Ujumbe mzuri kama hali yake imebadilika kwa njia halali na hakuathiri wengine kama yale makabila tunayoambiwa yanainuka kupitia vifo vya wengine
Amepambana kila mtu ameshuhudia, aliyemnyang'anya kampa tena
 
Point is, nguvu ya kubadilisha maisha yako ipo mkononi mwako. Nawe pia unaweza kuwa kwenye Forbes list. Pambana
 
Malizia tu mkuu mi ntasoma Uzi wako .....hivi mtoa mada unamfahamu bwakila ? au ndo wewe
 
Hiyo kujiendeleza na elimu nadhani elimu ya uganga, hata kupangilia article yako vizuri ikae angalau "kisomi" napo umechemka
 
Back
Top Bottom