Ama kweli usimdharau usiyemjua

Ama kweli usimdharau usiyemjua

Mwaka 2013 nilihamia morogoro pamoja na familia yangu kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo, wkt Niko pale( kwasasa nishaondoka) katika pilika za maisha nilikutana na jamaa mmoja( Jina kapuni) alikuwa akijishu
ghulisha na biashara ndogondogo Sokoni, hivisasa huyu bwana amehamia Dar es salaam na familia yake, maisha yamebadika na ana hali bora zaidi, yaani mpaka yeye mwenyewe haamini. My point: Tuishi vizuri na watu tulionao, sababu huwezi jua kesho ya mtu itakuwaje
Kuna jamaa mmoja alikuwa houseboy wetu miaka niko mdogo.

Alikuwa mshambamshamba tu ndo katoka kijijini.

Nilikuwa napiga story na binamu yangu mmoja, ananiambia kwamba jamaa alikuja kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa sana kwa kulinganisha na alipoanzia.

Hata Magu kaja mjini tunamuona anava mapekos na masuti oversize, sasa hivi anatupelekesha puta.
 
Upepo hubadilika yaan
 
Atakua mkinga huyo jamaa!! Kidding
 
Nimejikuta nacheka aisee. Huyu jamaa atakuwa anatumia computa ya ofisi. Sasa mara paaap, bosi kaingia... na jamaa hataki bosi ajue ID yake kazima komputer ghafla......... Tusubiri mpaka kesho akifungua ofisi cha kwanza atakuja kumalizia story yake
Sikunyingine nitaazima CPU yako mkuu, nisitumie ya ofisi mkuu
 
jamaa kawapa tittle naona mnatiriririririka tu
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa houseboy wetu miaka niko mdogo.

Alikuwa mshambamshamba tu ndo katoka kijijini.

Nilikuwa napiga story na binamu yangu mmoja, ananiambia kwamba jamaa alikuja kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa sana kwa kulinganisha na alipoanzia.

Hata Magu kaja mjini tunamuona anava mapekos na masuti oversize, sasa hivi anatupelekesha puta.
Mkuu tupia picha ya mapekos wengine hatuyajui.
 
Back
Top Bottom