Ama kweli usimdharau usiyemjua

Ama kweli usimdharau usiyemjua

ex-man

Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
64
Reaction score
46
Mwaka 2013 nilihamia Morogoro pamoja na familia yangu kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo, wakati niko pale( kwasasa nishaondoka) katika pilika za maisha nilikutana na jamaa mmoja( jina kapuni) alikuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo sokoni,

Hivi sasa huyu bwana amehamia Dar es salaam na familia yake, maisha yamebadilika na ana hali bora zaidi, yaani mpaka yeye mwenyewe haamini. My point: Tuishi vizuri na watu tulionao, sababu huwezi jua kesho ya mtu itakuwaje
 
Nimejikuta nacheka aisee. Huyu jamaa atakuwa anatumia computa ya ofisi. Sasa mara paaap, bosi kaingia... na jamaa hataki bosi ajue ID yake kazima komputer ghafla......... Tusubiri mpaka kesho akifungua ofisi cha kwanza atakuja kumalizia story yake
 
Ishakamilika mkuu
 
Back
Top Bottom