Ama kweli USIKU ni kiboko ya mambo...!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
Last edited by a moderator:
waap mambo ya eid chinja chezeya dompo weye......
 
Last edited by a moderator:
kwa mara ya kwanza leo Mtambuzi nimesalimu amri
 
Last edited by a moderator:
Ngoja wenzangu waje ndo umbea utakolea sana. Mtambuzi tafuta tu pa.kukimbilia

dada mkubwa mi leo sina ujanja hapa hii mijitu imegonga ikulu i ile mbya yaaani ukisikia kisu kugonga mfupa ndo leo!hata nguvu za kuleta timbili unafikiri nnazo!ahahahhahhahahhahhahahah leo Ciello na Mtambuzi walahi mmeniweza!hapa labda wadau woooooooooooooooooote wa operesheni tetea mama ngina waunganishe nguvu wakiwa chini ya CEO Madame B na mwanasheria wetu Ruttashobolwa ndo naweza kuwa boosted betri yangu!KWISHNEH
 
Last edited by a moderator:
morng mamito! Hapana mmeninukuu vibaya nilikuwa peke yangu nikipiga ki2 cha dom!

moringi dear!
ah we na mzee wako hamfai kabisa sa cha kunichora hivi jamvini ndo nini!yani kwa kuwa tu jana niliwafungia barabara ya morogoro road ndo mnitende hiki kitendo cha kunianika namna hii!
 
Lol, mzee laanakum huyu. Afu mshua toka maza aingie toharani unaongelea tu nanihii. Usije ukambemenda dogo manake ntakuleta hapa uhukumiwe.mkweo anakusalamia.
 

Nimeshajua, siku hizi nikitaka kuwanga naingia chit chart usiku mnene, najua wakuda mida hiyo hampo.............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…