The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,247

Ni kweli mkuu, lakini rasmi naomba nikuondoe dhana potofu iliyojengeka akilini mwako, kwamba mtoto mdogo hawezi kupiga hatua za kimaendeleo kumzidi mkubwa ama mkongwe ingeneral. Kuwa na mawazo ya kiutu uzima.
ukiweka mezani huwezi kupata mshabiki wa azam, huo ndiyo ukweli washabiki wa azam ni wale wa SIMBA na YANGA...Azam ikicheza na simba mashabiki wa yanga wanakuwa wa Azam hivyo hivyo kinyume chake..hata mmiliki wa AZAM ni Simba...lakini viongozi wa simba na Yanga wanaongia madarakani huwa masirahi yao mbele na umbumbumbu mwingi lakini naamini kwa changamoto za sasa na uongozi tulio nao pengine simba tutajikongoja...

ok,me cna mawazo hayo mkuu! Hapa ishu ni kwamba,viongozi hawa hawaoni aibu kwa kupeleka timu kwenye uwanja wa timu ambyo almost mashabiki wake ni mara 10000 ya mashabiki wao?

ukiweka mezani huwezi kupata mshabiki wa azam, huo ndiyo ukweli washabiki wa azam ni wale wa SIMBA na YANGA...Azam ikicheza na simba mashabiki wa yanga wanakuwa wa Azam hivyo hivyo kinyume chake..hata mmiliki wa AZAM ni Simba...lakini viongozi wa simba na Yanga wanaongia madarakani huwa masirahi yao mbele na umbumbumbu mwingi lakini naamini kwa changamoto za sasa na uongozi tulio nao pengine simba tutajikongoja...

kweli mkuu crashwise,inawezekana tukapata uwanja japokuwa saivi naona hauongelewi tena sijui imefkia wp mkuu

hivi hakuna uwezekano wa hawa jamaa kushikiriana wakajenga kiwanja kimoja.

nani ashirikiane mkuu,simba na yanga au!? Hapo ni sawa na kusikia CCM na CHADEMA wameungana

Mkuu hawa jamaa swala la uwanja wakitaka wanaweza kushirikiana na mambo yakaenda vizuri kabisa.