Ahh kwanza hao wamiliki wa Azam si ndo hao wanaouza bidhaa mbofu, hawalipi kodi, na mabingwa wa kuuza madawa..? Ungekuwa uwanja wa Villa Squard, au Mji Mpwapwa, AFC Arusha sawa, hawa ni wezi wa hela zetu so hakuna haja ya kuwafagilia kiasi hicho...
BTW sio Simba wala Yanga waliotaka kuchezea hapo hizo ni siasa za TFF, wamezoea kuiba wakati wa mechi hizo so wanaona wanakosa pesa za ulabu kwa timu hizi kuwa mikoani ! Hata hao wizara si Yanga tu ndo maana uamuzi huu ulitolewa baada ya Ngao ya hisani kupeperukia msimbazi...! Kwa taarifa yako hapo tayari dili ishachorwa na hao mafisadi, subiri soon utasikia uwanja huo umepanuliwa baada ya mtembeza bakuli kuwaombea hela nyingine kwa akina Sinclair 9wanaomiliki madini yetu....)