Umepishana na lory la dolaMimi sio Tukunyemaπππ
Ilitokea tu kwa bahati mbaya maana siyo kawaida yangu kabisa. Nilijuta sana! πNawe uligombanaje na mwanamke tena mrembo?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwa vile umeongea najua maumivu yameisha Sasa.....tumeshapatanaWe acha tu ndugu yangu maana maumivu bado yapo kwa vidonge ulivyonipa siku ile. Sitakaa nisahau!
Huwa nakupenda hadi naumwa oohNimeacha bangi siku ya pili leo π
Asante sis ππΏππΏππΏπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwa vile umeongea najua maumivu yameisha Sasa.....tumeshapatana
Jamani Jojo π³π³π³Nakupenda zaiiid mai wangu Glenn
β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈAsante sis ππΏππΏππΏ
Tayariβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ
Mmmmhhh kumbe una sehemu zakoπππππsi ulikuwa unamcheka Bei elekezi wewe?Wewe hata nikikuhonga hakika sitajuta...umenimaliza tikitiki sweetheartππ
Na kwenu nyote wakuu.
Tayari Niniππ?Tayari
Ungemfahamu huyu mrembo wala usingenikosoa.Mmmmhhh kumbe una sehemu zakoπππππsi ulikuwa unamchekea Bei elekezi wewe?
Siku yenye baraka kwako pia.Na kwenu nyote wakuu.
Tumecheka na kufurahi
Asubuhi moja safi sana
Hebu Mungu na Akatubariki sote leo na siku zijazo.
Love you guys ππΏπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Amina, naomba uzi huu uwe wa amani, yote tumeyasema kwa furaha, akiyekwazika atusameheNa kwenu nyote wakuu.
Tumecheka na kufurahi
Asubuhi moja safi sana
Hebu Mungu na Akatubariki sote leo na siku zijazo.
Love you guys ππΏπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ