Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ningekua mimi day one akiomba pesa nampa.
Ametaka kuona tutaonana.
Baada ya hapo namfuta.
Akipiga namuuliza wewe nani?
Ajieleze weee
Akili kubwa Sanaa aisee
Niliwahi kumfanyia mdada mmoja mpaka Leo hii Hana hamu na mimi
 
Akili kubwa Sanaa aisee
Niliwahi kumfanyia mdada mmoja mpaka Leo hii Hana hamu na mimi
Wanawake katili wa hisia dawa yao nzuri ni kuwavuta..
Mwisho zikatili hisia zake muda anapokuhitaji zaidi.

Mimi mwanamke humble, akininyima kistaarabu nitamheshimu milele..
Lkn katili wa hisia na kashfa nina dawa zao chungu zaidi ya 100
 
Ulitumia mpira?
 
Eh kazi ipo !yan unafurahi kama umepata ajira baada ya msoto!kumbe n mapenzi
 
Nimemwagia ndani mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndugu yangu kapimwe akili[emoji23] naona haupo sawa kwa hiyo kumwagia ndani ndo nn kwa mfano[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!kwa hiyo umepata faida gani kumwagia ndani kwa mfano![emoji3]
 
Haya sasa peleka posa umuoe ili utimize ndoto yako ya kumfanya awe my wife wako!!

Ukiona hivyo ujue ameachwa na aliyekuwa naye na umri unaenda akaona akutafute tu ili umstiri asije zalia kwao.
 
Njaa ni hatari sana!!!
 
Wew mpuuzi Rudi vijijini ukalime huna akili kabisa unauziwa K unakuja ongea ujinga hapa ,,shubamit
 
Beauty with brain
. mrembo umemaliza kila kitu
 
Kijana tafuta hela achana na mapenzi ukishapata hela mapenzi yatajileta yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…