Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,617
- 3,718
- Thread starter
-
- #101
Upo sahihi Sana ubaya ubayaMm mwanamke wa hv atanichukia tu bure yan bas ,mm nna uwezo wa kuishi na mtu hata mwaka bla story mpaka ataondoka tu aniache na shda zangu
Nitamtumia link ya huu uzi aupitie aone maoni ya wadau ili achote kituKuwa mwanamke ni ngumu sana sjui kwann tuliekewa hiki kitabia chakupenda pesa. Hakuna mwanamke asopenda pesa ya kupewa ni vile tunazidiana utashi wa kudhibiti tamaa zetu.
Huyo dada bila shaka alirogwa na ukwasi wa mshkaji akakubali kuolewa Sasa sahvi mapesa yameondoka na yeye upendo umetoka. Rafiki ako atafute Hela tu hakunaga upendo bila pesa bhana
Nyundo kwenye msumali umegusa sehemu sahihi , hoja nzuri .Mungu pia anachukia dharau, kebehi na kutofuata maandiko yake kwamba mke atamtii mume wake, so usimtaje jina lake bure. Kila mtu achukue hamsini zake, amani ni bora kuliko kukaa na mwanamke mkorofi. Akikubali kumrudia nitamshangaa sana. Bora kuishi mwenyewe bila mke au mwanamke. Haufi!
Umesema vyemaShika, kamata na ujue, upendo ni hisia. Huyeyuka wakati wowote ule, sikwamwanaume wala mwanamke. Wanachokosea wenzetu ni kutokuwa na empathy au hekima mwenzao akienda kamba huku wakiwa wote wanavumiliana. Kilicho bora, kuishi kama tulivyoagizwa na mtume Paulo ni vyema sana, ngono ukikosa hufi na mke sio lango la uzima wa mafanikio.
Plz ....uje na Uzi mzee baba...tujifunze na sisiMwambie hayo ya kawaida hawa wanawake tunaokutana nao tukiwa na ajira,mimi nilifukuzwa kazi nikauza gari nililonunua milioni7kwa shsmilioni moja na laki tano!Na vitu vingine baada ya kuuza vitu vingi nikawa tena sina kitu cha kuuza hapo ndipo kipengere kikaanza na figisu kibao;Hadi nikapelekwa gereza la Isanga baada ya kukosa mdhamini!Mwambie asiwaza apambane Mungu ni mwema ndoa ya kweli ni ya mkulima tuu!
Uvumilivu wake ni Sawa na kujichimbia kaburiAvumilie tu.....
Amina AminaMungu amsaidie katika hiyo changamoto.
si mnataka wenye wife material
wenye wana kazi oh hata nikiumwa najua ntakua safe! acha mpigwe na vyenye ncha kali
Ukute wewe umekaza misuli mwenzako asharudiana na mkewe...kalaghabahoMungu pia anachukia dharau, kebehi na kutofuata maandiko yake kwamba mke atamtii mume wake, so usimtaje jina lake bure. Kila mtu achukue hamsini zake, amani ni bora kuliko kukaa na mwanamke mkorofi. Akikubali kumrudia nitamshangaa sana. Bora kuishi mwenyewe bila mke au mwanamke. Haufi!
ItamsaidiaNitamtumia link ya huu uzi aupitie aone maoni ya wadau ili achote kitu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
MWanamke kwa nyakati hizi kukaa bila shughuli yeyote ni UHAINIsi mnataka wenye wife material
wenye wana kazi oh hata nikiumwa najua ntakua safe! acha mpigwe na vyenye ncha kali
NAKAZIAWanawake wana dharau sana kama mume ameyumba kiuchumi
Sent and delivered π€£Tusi limemfikia mtunga wimbo π π π π π
Pole sana kwa kudharauliwa na mkeo, usijali kazi utapata tu.Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Mtunzi awekewe reserve table peponiKuna wimbo maarufu huko tiktok wa mnaijeria
Number one give her money....
Number 2 just give her money....
Number 3 find money and give her money...
Number 4 give her money....
Number five if u don have money borrow money and give her money....
kazi/UMUHIMU wa goal keeper utaujua siku zikipigwa penati kama hizo ndo utajua kwanini golini kuna Diara, hawajamweka PACOME ZOUZOUA
Kunywa Cha Mwanamke kikiamua kuropoka Mwanaume anaweza akaenda kujitundikaAnasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Warudiane au wasirudiane, but straight to the point. Asiyekujali leo usifikiri atakujali kesho. Akiamua kusuka au kunyoa ni yeye mwenyewe kwani psychological torture tunashare wote, sianapatiwa yeye kama yeye.Ukute wewe umekaza misuli mwenzako asharudiana na mkewe...kalaghabaho