Ama kweli ndoa ndoano

Asie sikia la mkuu huvunjika guu
 
NB imekaa poa
 
Avumilie tu.....
 
Tatizo hili linatibika Kwa kuoa mwanamke anayekupenda
Shika, kamata na ujue, upendo ni hisia. Huyeyuka wakati wowote ule, sikwamwanaume wala mwanamke. Wanachokosea wenzetu ni kutokuwa na empathy au hekima mwenzao akienda kamba huku wakiwa wote wanavumiliana. Kilicho bora, kuishi kama tulivyoagizwa na mtume Paulo ni vyema sana, ngono ukikosa hufi na mke sio lango la uzima wa mafanikio.
 
Shida kivipi mkuu.. ? Ulitaka niseme waachane?? MUNGU anachukia Talaka
Mungu pia anachukia dharau, kebehi na kutofuata maandiko yake kwamba mke atamtii mume wake, so usimtaje jina lake bure. Kila mtu achukue hamsini zake, amani ni bora kuliko kukaa na mwanamke mkorofi. Akikubali kumrudia nitamshangaa sana. Bora kuishi mwenyewe bila mke au mwanamke. Haufi!
 
Kuwa mwanamke ni ngumu sana sjui kwann tuliekewa hiki kitabia chakupenda pesa. Hakuna mwanamke asopenda pesa ya kupewa ni vile tunazidiana utashi wa kudhibiti tamaa zetu.

Huyo dada bila shaka alirogwa na ukwasi wa mshkaji akakubali kuolewa Sasa sahvi mapesa yameondoka na yeye upendo umetoka. Rafiki ako atafute Hela tu hakunaga upendo bila pesa bhana
 
Avumilie yana mwisho yatapita atasimama tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi hii inakuhusu wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…