Sakata la Dewji lisitusahaulishe kilio cha watu wengi kutaka RC wa Dar, anayependa kuheshimiwa saaana, Makonda Bashite Paulo anaondolewa!
Japo ahamishiwe basi na kurudi Lumumba kwa sababu ya mambo mengi ya hovyo aliyofanya hasa lile la jaribio la kutaka kukwepa kodi kosa ambalo kwa nchi kama China unanyongwa!
Dar imekuwa na RCs wengi wenye makeke. Waliondoka na wengine sasa ni marehemu. Zilikuwepo enzi za Mzee Songambele, Mhaville, Ramadhani Nyamka nk, zikapita. Akaja Ukiwaona Ditopile Mwinshehe Mzuzuri. Huyu alipatwa na tuhuma za kumuua dereva wa daladala enzi za Jakaya. Alikuwa machachari sana + ujanjaujanja wa pwani.
Namkumbuka Mary Chipungahelo au mama chips. Huyu alikuwa mkuu Dar enzi za Rais Mwinyi.
Kuna akina Makamba enzi za Mkapa ambaye alichukiwa sana na ombaomba. Alikuwa na makelele balaa.
Akaja Lukuvi ( maana yake nabii). Huyu aliongoza kwa tahadhari kubwa akijua changamoto za ku dili na wananchi wa Dar.
Meck Sadiq hakuwa na makeke baba wa watu akijua anaongoza watu sio kuswaga mbuzi!
Na ndipo akaja huyu Paulo Makonda. Kijana mwenye majivuno, unafiki, kujipendekeza, dharau, ushambaushamba, kelele na kujifanya mjuaji wa kila jambo.
Ni muda sasa wabongo wametaka mtu mwenye busara, hekima na matured aiongoze DSM lakini wapiii. Bashite anadunda tu pamoja na tetesi kwamba kafoji cheti cha kidato cha nne!
Kweli Makonda ana ngozi ya Anaconda mpaka shoka la Jiwe limedunda.