Halooooo wifi yangu tena bro anakupenda the way ulivo....so naturally mmmmwaah
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
hahahaaaaa wanakuaga na hasira mda wote sijui na ww unazo shostAlafu apite njiani wamwambie umefanana na baba patachimbikaje? By the way me copy ya baba
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
yap hajichubui ila anapenda kujiweka sop sop ila kuna saa anaacha so hatabiriki...kwakifupi hajali mi make ups....sio kama wema bila make ups hajatoka ndani jamani kha!mi Aunt nampenda coz hajichubui......
kwa raha zako mwaya kwani inahuukiasi kikubwa aiseee.......khaaa......unataka nikimbiwe....?
hebu nikabandike zangu nyusi saa hizi kwa Zahoro.......inahuu....
kiasi kikubwa aiseee.......khaaa......unataka nikimbiwe....?
hebu nikabandike zangu nyusi saa hizi kwa Zahoro.......inahuu....
Nani anataka presha, akhuuu! Na hapa dingi ndo katoa fotocopy coloured kabisaaa! Tena ole wake akinichoka aseme mie ugly, nitamcheka na kumuuliza 'unastuka saa hizi??'
hahahaaaaa wanakuaga na hasira mda wote sijui na ww unazo shost
Mzuri hajipambi
Hahahaaaa! Shosti! Make up muhimu sana, hata hawa wadada wa mujini wengi wasingekuwa na hela ya kujipodoa, mbona wasingeonekana!!!! Chagua mchumba asubuhi akiwa katoka kuamka!
mi Aunt nampenda coz hajichubui......
Samahani kina Dada lakini, hivi na huko chini ikulu kuna make up?