Ama kweli, majuto ni mjukuu

Ama kweli, majuto ni mjukuu

Mzee Mengi kazaa na Jacqueline akiwa na miaka 60+.

Kwa masikini vyote tabu tu, uwahi kuoa wakati una subwoofer tu ndani wajanja watakugongea mpk ndoa ivunjike.

Ukichelewa napo unazeeka vitoto ndiyo viko chekechea na ada huna.

Kwahiyo chagua moja
Tabu tupu 🤣🤣🤣hii dunia yaani
 
Mimi wakati nipo kijana nilijipa malengo mpaka kufika miaka 27 or 28niwe na mtoto tayar.....lakin wap kutokana na complications kwenye uzazi nikashangaa mtoto wa kwanza napata nikiwa na miaka 34.
 
Muhimu haujavunja amani ya nchi, wengne hata wazo la kuwa na familia bado alijatusogelea kichwan. Kila sku mambo yanazd kuwa mengi looh!

Zaman walisema kila mtoto huja na sahani yake, lkn sasa hv sahan znakuwa huku dunian wao wanakuja tu bila sahani.

Yapasa ujipange ili umuandalie mtoto maisha bora, asteseke kama ulivyoteseka ww(naongelea kwa waliozaliwa familia za kimaskini kama me).

Elimu wanasema bure, lkn haina ubora. Yapasa kujipanga s kuzaa tu ili mrad, yafaa nn kuzaa mtoto ukiwa na miaka 16 baadae akaishia kuwa panya road au kahaba kutokana na kukosa mahtaj ya msingi na mzaz kushndwa kumlea je, utajivunia nn!?

S kila kitu yafaa kujuta, mengine n swala la kumshukuru Mungu(Allah)
 
Kweli mkuu, ila nashauri vijana, kuoa na kuzaa mapema kuna umuhimu sana
Naungana na wewe ila factors muhimu lazima zizingatiwe.

Tujitahidi tusicheleweshe watoto shule.

Sio vizuri ufikie umri wa kustaafu ingali watoto bado wapo vidato.
 
Back
Top Bottom